-
Mfalme Charles aungama kuhusu 'sura chungu' ya ukoloni wa Uingereza, miito ya kulipa fidia yatolewa
Oct 26, 2024 02:29Mfalme Charles III ameungama kuhusu "sura chungu" ya utawala wa kikoloni wa Uingereza duniani huku kukitolewa miito ya kulipwa fidia ya utumwa ulioendeshwa na mkoloni huyo mkongwe.
-
Waziri wa Russia: Magharibi inatuibia mabilioni ya fedha zetu, US na EU zinafanya kosa la kihistoria
Oct 26, 2024 02:26Naibu Waziri wa Fedha wa Russia Ivan Chebeskov amesema kitendo cha kuchukua riba inayopatikana kwenye mali zilizozuiliwa za nchi hiyo ili kuipatia mikopo Ukraine ni kinyume cha sheria za kimataifa na kitakuwa na matokeo yasiyotarajiwa kwa nchi za Magharibi.
-
Indonesia yaeleza hamu yake ya kuwa mwanachama wa Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 25, 2024 23:33Mkurugenzi Mkuu wa Miongozo ya Jamii ya Kiislamu wa Wizara ya Dini ya Indonesia ametangaza kuwa nchi yake iko tayari kujiunga na Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Erdogan: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi katika eneo kudhamini usalama wa Israel
Oct 25, 2024 23:32Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, Marekani inayatumia makundi ya kigaidi katika Mashariki ya Kati kwa ajili ya kudhamnini usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ongezeko kubwa la ubaguzi dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 25, 2024 04:11Uchunguzi mpya umebaini kuwepo 'ongezeko kubwa na lenye kutia wasiwasi" la ubaguzi wa rangi dhidi ya Waislamu barani Ulaya hasa baada ya utawala haramu wa Israel wa kuanzisha vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wanaodhulumiwa katika Ukanda wa Gaza.
-
Putin: Sababu kuu kabisa ya mvutano Asia Magharibi ni kutokuwepo taifa huru la Palestina
Oct 25, 2024 04:02Rais Vladimir Pitin wa Russia ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota hali ya mambo katika eneo la Asia Magharibi, na kusema kuwa, sababu kuu ya mgogoro wa eneo hilo ni kutokuwepo taifa huru la Palestina.
-
IMF yaitahadharisha dunia kuepuka vita vya kibiashara
Oct 24, 2024 23:10Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeitahadhariisha dunia na kuuiitaka iepuke vita vya kibiashara.
-
Kwa mara nyingine UK yatakiwa iache kuipa silaha Israel inayofanya jinai Ghaza na Lebanon + Picha
Oct 24, 2024 08:15Kwa mara nyingine tena waandamanaji waliomiminika mitaani huko Uingereza wameitaka nchi hiyo ya kifalme ambayo ni muungaji mkono mkubwa wa jinai za utawala wa Kizayuni, iache kuipa silaha Israel na isishiriki katika jinai zinazofanywa na dola hilo pandikizi hasa huko Ghaza na Lebanon.
-
Iran na Misri zataka Israel ilazimishwe kukomesha jinai zake Gaza, Lebanon
Oct 24, 2024 02:48Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian na mwenzake wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi wamesisitiza kuwa uchokozi wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon ni lazima usitishwe, na kutoa wito wa kuwepo juhudi za kuzuia kuenea kwa mzozo katika maeneo mengine ya eneo la Asia Magharibi.
-
Trump aituhumu UK kwa kuingilia uchaguzi wa Marekani
Oct 23, 2024 22:48Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amewasilisha malalamiko yake kuhusu madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani unaofanywa na chama tawala nchini Uingereza.