-
Wasanii na wasomi wa Uhispania, watoa wito kwa Madrid kusitisha biashara ya silaha na Israel
Oct 23, 2024 04:29Mamia ya wasomi na wasanii wa Uhispania wameandika barua kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Pedro Sanchez, wakitaka kuwekwa vikwazo vya silaha dhidi ya Israel kutokana na ukatili unaoendelea kufanywa na utawala huo huko Gaza na Lebanon.
-
Wanafunzi Waislamu; Waathiriwa wa sera za kibaguzi za vyuo vikuu vya Marekani
Oct 22, 2024 22:57Kufichuliwa kwa faili la sauti ya rais wa Chuo Kikuu cha Michigan kunaonesha kuanzishwa sera za kibaguzi dhidi ya wanafunzi wa Kiislamu na Waarabu katika jamii za Magharibi.
-
Takwa la Amnesty International la kuwekewa vikwazo vya silaha Israel
Oct 22, 2024 22:52Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limezitaka nchi za Ulaya kuuwekea vikwazo vya silaha utawala haramu wa Israel.
-
Ripota wa UN: Mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni "aibu ya pamoja ya karne"
Oct 21, 2024 08:05Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ameyataja mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni "aibu ya pamoja ya karne" huku jamii ya kimataifa ikishindwa kulinda haki za Wapalestina.
-
Putin: Nchi za BRICS zitachochea ukuaji wa uchumi katika miaka ijayo
Oct 20, 2024 07:37Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, kundi la BRICS litazalisha sehemu kubwa ya ukuaji wa uchumi wa dunia katika miaka ijayo kutokana na ukubwa wake na ukuaji wa haraka kiasi.
-
Reuters: BRICS kujadili mpango mpya wa kimataifa wa mabadilishano ya fedha
Oct 20, 2024 03:11Russia itawasilisha pendekezo lake la mfumo mpya wa fedha wa kimataifa kwa mataifa mengine wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya BRICS katika mkutano wa kilele wa kundi hilo utakaofanyika wiki ijayo nchini humo.
-
Rais wa China ayataka majeshi yajizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita
Oct 19, 2024 23:16Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa majeshi ya nchi hiyo kujizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita, siku chache baada ya Beijing kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi kuzunguka kisiwa chaTaiwan.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia alaani vikali mauaji ya Sinwar, asema nchi yake inaomboleza
Oct 19, 2024 23:16Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amelaani vikali mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yaliyofanywa na vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sheria za kupambana na ugaidi Uingereza zatumiwa kunyamazisha wanaopinga Israel
Oct 19, 2024 07:55Polisi wa Uingereza wanaopambana na ugaidi wamevamia nyumba ya mwandishi wa habari za uchunguzi na mtafiti, Asa Winstanley, Kaskazini mwa London.
-
UN: Sheria za kimataifa zinaitaka Israel kukomesha uvamizi huko Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2024 04:32Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wajibu wa kukomesha uwepo haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).