-
UN: Kuwahamisha kwa mabavu raia kaskazini mwa Gaza ni jinai ya kivita
Oct 18, 2024 23:35Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa kitendo chochote cha kuwahamisha kwa nguvu raia wengi huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita.
-
Wanajeshi zaidi ya elfu 4 wa Uingereza watoroka jeshini
Oct 18, 2024 23:34Bunge la Uingereza limetangaza kuwa zaidi ya wanajeshi 4,400 wamejiuzulu katika jeshi la nchi hiyo.
-
UN: Watu bilioni 1 wanaishi katika umaskini wa kupindukia
Oct 17, 2024 23:21Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, zaidi ya watu bilioni moja wanaishi katika umaskini mkubwa, na karibu nusu yao wapo katika nchi zinazokumbwa na migogoro.
-
Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi
Oct 16, 2024 10:00White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.
-
Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika
Oct 16, 2024 03:39Mwanaharakati na mwanamajimui mashuhuri wa kupinga ukoloni mamboleo barani Afrika, Stellio Gilles Robert Capo Chichi, maarufu kama Kemi Seba, amekamatwa nchini Ufaransa.
-
UN: Aghalabu ya waliouawa katika mashambulizi ya Israel Lebanon ni wanawake na watoto
Oct 16, 2024 01:04Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa imesema ripoti zinaonyesha wengi wa wahasiriwa wa mashambulio ya anga ya Israel kwenye eneo lenye wakazi wengi wa Kikristo kaskazini mwa Lebanon walikuwa wanawake na watoto.
-
Marekani yaridhika tu kwa kuelezea kusikitishwa kwake na kuchomwa moto mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza
Oct 15, 2024 08:21Baraza la Usalama la Taifa la Marekani limeeleza tu wasiwasi na masikitiko yake kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Maduro: Benjamin Netanyahu ni zimwi lililotengenezwa na Marekani
Oct 15, 2024 02:52Mapema leo asubuhi Rais wa Venezuela amemshambulia vikali waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kutokana na jinai za kuchupa mipaka anazofanya nduli huyo wa Ghaza na Lebanon.
-
Ulazima wa kuwekewa vikwazo na kufukuzwa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa
Oct 14, 2024 22:46Wigo wa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni huko Gaza na kupanuka jinai hizo hadi Lebanon, jambo ambalo linakinzana waziwazi na misingi ya Hati ya Umoja wa Mataifa na sheria za kimataifa, hauhalalishi kwa namna yoyote kuendelea kuwepo utawala huo katika Umoja wa Mataifa na katika taasisi nyingine za kimataifa.
-
Spika wa Bunge la Iran ataka Umoja wa Mabunge dunia ulaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza, Lebanon
Oct 14, 2024 09:06Spika wa Bunge la Iran Mohammad Baqer Qalibaf anasema nchi wanachama wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) zinapaswa kuwa na misimamo ya wazi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza na Lebanon na kulaani ukatili wa utawala huo dhidi ya raia.