-
Madai ya Rais wa Marekani kuhusu kuwepo utulivu Asia Magharibi
Sep 29, 2024 22:54Wakati utawala wa Kizayuni umeongeza wigo wa mivutano na vita huko Lebanon na Palestina; Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika taarifa yake kwambe eti sasa wakati umefika kwa ajili ya kuwepo utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Lavrov: Mauaji ya Nasrullah yana lengo la kuchochea vita vya Marekani na Iran
Sep 29, 2024 08:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, anasema kwamba mauaji ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah, huenda yalikusudiwa kuzusha vita kati ya Marekani na Iran.
-
Maafisa wa Marekani: Ni vigumu kwa Israel kuiangamiza Hizbullah
Sep 29, 2024 08:36Gazeti la New York Times la Marekani limewanukuu maafisa wa serikali ya nchi hiyo wakisema kuwa, ni vigumu kwa Israel kufanikiwa kuharibu uwezo wa Hizbullah, huku kukiwa na tishio la jeshi la Israel la kuanzisha operesheni ya nchi kavu nchini Lebanon.
-
Rais Maduro wa Venezuela: Viongozi waoga wa dunia wako kimya kuhusu mauaji ya Nasrullah
Sep 29, 2024 07:46Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, amelaani mauaji yaliyofanywa na waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye amemtaja kuwa ni Hitler wa zama hizi dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah na kuwashutumu viongozi wa dunia kuwa ni "waoga" kwa kukaa kimya mbele ya mauaji hayo.
-
Radiamali ya kimataifa dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni huko Beirut, Lebanon
Sep 28, 2024 04:42Sambamba na mashambulizi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni huko Beirut, Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ameeleza masikitiko yake kwamba hakuna nchi yoyote ikiwemo Marekani, iliyo na uwezo wa "kusimamisha" jinai za utawala huo ghasibu.
-
Kuendelea uchochezi wa Marekani katika vita vya Ukraini
Sep 27, 2024 22:47Wakati China na Brazil zinazungumzia suala la kuwasilisha mpango wa pamoja wa kisiasa wa kumaliza vita nchini Ukraini, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa amri akitaka kutolerwa kifurushi kingine cha msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 375 kwa Ukraini.
-
Wanachama wa IOI wapiga kura kuizuia Israel kushiriki mashindano ya Olympiad kutokana na mauaji ya Gaza
Sep 27, 2024 10:07Wanachama wa Olympiad ya Kimataifa ya Informatics (IOI) wameizuia Israel kushiriki katika shindano la kifahari la sayansi ya kompyuta 2025.
-
Ulaya ni muhali kuafikiana kuhusu vita dhidi ya Russia
Sep 27, 2024 03:15Wakati Rais wa Russia ameonya kuhusu madhara yasiyotabirika ya kutumiwa silaha za nchi za Magharibi dhidi ya nchi hiyo, imedhihirika wazi kwamba Umoja wa Ulaya hauwezi kuchukua uamuzi wa pamoja wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za Magharibi kushambulia maeneo ya ndani kabisa ya Russia.
-
Erdogan: Marekani haitaki Ukraine iwe mwanachama wa NATO
Sep 26, 2024 23:32Rais wa Uturuki amesema kuwa, ingawaje Marekani ndiye mpinzani mkuu wa Ukraine kujiunga na Shirika la la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), lakini pia nchi nyingi za jumuiya hiyo zinapinga Kyev kupewa uanachama.
-
Kwa sababu ya keffiyeh ya Kipalestina...mwandishi maarufu akataa tuzo ya Marekani
Sep 26, 2024 08:02Mwandishi aliyeshinda Tuzo ya Pulitzer, Jhumpa Lahiri, amekataa kupokea tuzo ya Jumba la Makumbusho la Noguchi la New York City huko Marekani baada ya kuwafuta kazi wafanyakazi watatu kwa kuvaa skafu za keffiyeh, ambayo ni nembo ya kuonyesha mshikamano na Wapalestina wanaoendelea kuuawa na majeshi ya Israel.