-
Guterres: Zichukuliwe hatua kimataifa kumaliza ubaguzi wa rangi dhidi ya watu wenye asili ya Afrika
Sep 01, 2024 06:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kimataifa ili “kutokomeza ubaguzi na ubaguzi wa rangi” dhidi ya watu wenye asili ya Afrika.
-
Russia: Israel na Ukraine zina hali moja, zote mbili zinataka vitokee vita vikuu vya kikanda
Sep 01, 2024 06:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, tawala zote mbili za Ukraine na Israel zinajaribu kuzusha vita kuu vya kikanda ili kutatua matatizo yao wenyewe kwa gharama na kwa kutumia migongo ya pande zingine.
-
Mahakama ya Kilele Brazil yaamuru kupigwa marufuku nchi nzima mtandao wa kijamii wa X
Aug 31, 2024 22:51Jaji wa Mahakama ya Kilele ya Brazil ameamuru kupigwa marufuku na kusimamishwa kazi za mtandao wa kijamii wa X katika kona zote za nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Uingereza inataka kuboresha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya
Aug 31, 2024 08:26Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza amefanya safari katika miji ya Berlin na Paris kwa lengo la kuboresha uhusiano na Umoja wa Ulaya.
-
Hali ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya waliofanyiwa ukatili mkubwa Myanmar bado ni mbaya
Aug 31, 2024 00:44Hali mbaya ya Waislamu wa Rohingya, kabila la walio wachache kutoka Jimbo la Rakhine nchini Myanmar, inaendelea kuwa mbaya na kuliza walimwengu wenye hisia za kibinadamu huku kukiwa hakuna matumaini ya Waislamu hao kurejea kama walivyokuwa kabla ya kufanyiwa ukatili wa kutisha na mabudha na wanajeshi wa Myanmar.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa wa kusimamishwa operesheni za kijeshi za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Aug 30, 2024 09:07Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawaa ghasibu wa Israel kusitisha mara moja operesheni zake za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Harris atupilia mbali uwezekano wa kuiwekea Israel vikwazo vya silaha, adai ina haki ya 'kujilinda'
Aug 30, 2024 05:54Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametupilia mbali kwa msisitizo uwezekano wa nchi hiyo kuuwekea vikwazo vya silaha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaoendeleza vita vya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.
-
EU yaipatia Ukraine faida ya riba ya dola bilioni 1.5 zilizotokana na mali za Russia ilizozizuia
Aug 30, 2024 05:53Umoja wa Ulaya umeshafanya uhamishaji wa kwanza wa riba iliyotokana na mali za Benki Kuu ya Russia unazozishikilia na kuipatia Ukraine na nchi zingine zinazoisaidia Kiev. Hayo yameelezwa na Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja huo na akibainisha kuwa, tayari jumla ya yuro bilioni 1.4, sawa na dola bilioni 1.5 zimeshahamishwa.
-
Watoto wa Uingereza ndio watoto wenye huzuni zaidi barani Ulaya
Aug 30, 2024 03:50Imeelezwa kuwa, watoto wa Uingereza ndio watoto wenye ghamu na huzuni zaidi ikilinganishwa na watoto wa mataifa mengine barani Ulaya.
-
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia yatikisa tasnia ya filamu nchini India
Aug 30, 2024 03:49Madai yaliyotolewa juu ya kuweko unyanyasaji wa kijinsia yameitikisa tasnia ya filamu nchini India na kuzua maswali mengi.