-
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia yatikisa tasnia ya filamu nchini India
Aug 30, 2024 03:49Madai yaliyotolewa juu ya kuweko unyanyasaji wa kijinsia yameitikisa tasnia ya filamu nchini India na kuzua maswali mengi.
-
Ujerumani yakosolewa kwa kumfukuza mwanachuoni wa Kiislamu
Aug 29, 2024 23:12Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya Ujerumani kwa kumtimua nchini humo mwanachuoni mmoja mashuhuri wa Kiislamu.
-
Hisia na maoni tofauti yaliyotolewa kufuatia kukamatwa Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Telegram
Aug 29, 2024 23:11Kutiwa nguvuni Pavel Durov, mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa mtandao wa Telegram katika uwanja wa ndege wa Paris, Ufaransa kumepokewa kwa hisia na maoni tofauti katika duru za kisiasa na vyombo vya habari duniani.
-
Gutteres ataka Israel isitishe mashambulizi yake Ukingo wa Magharibi
Aug 29, 2024 08:14Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Israel usitishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukingo wa Magharibi ambayo yamepelekea Wapalestina wasiopungua 17 kuuawa shahidi.
-
Baada ya miaka 10.. mwanasayansi wa Australia ategua fumbo la kutoweka ndege ya abiria ya Malaysia
Aug 29, 2024 03:51Mwanasayansi na mtafiti wa Australia, Vincent Lyne, amethibitisha kwamba amepata kile alichokiita “eneo ilikotokomea” ndege ya abiria ya Malaysia iliyotoweka miaka 10 iliyopita, na kutegua kitendawili kilichoisumbua dunia kwa miaka mingi.
-
Uchunguzi mpya wa Amnesty International kuhusu jinai za kivita za utawala wa Kizayuni
Aug 29, 2024 00:56Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetoa taarifa na kutangaza kuwa mashambulizi ya jeshi la utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina yanapasa kuchunguzwa kama jinai za kivita.
-
"Magharibi inacheza na moto", Moscow yaonya juu ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia
Aug 28, 2024 01:10Russia imeionya Marekani juu ya uwezekano wa kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia ambavyo havitahusu Ulaya pekee, na kusema kuwa kuiruhusu Ukraine kushambulia eneo lake kwa silaha za Magharibi ni "kucheza na moto."
-
Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi
Aug 28, 2024 01:04Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.
-
UN yakosoa azma ya Israel ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa al-Aqsa
Aug 27, 2024 08:48Msemaji wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali pendekezo lililotolewa hivi karibuni na Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, la kutaka kujenga sinagogi ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Waziri wa Fedha wa Uswisi atahadharisha kuhusu ongezeko la deni la Marekani na Ulaya
Aug 27, 2024 08:39Waziri wa Fedha wa Uswisi ametahadharisha kuhusu athari hasi za madeni ya Marekani na nchi za Ulaya.