-
Palestina kuwasilisha ombi la kujiunga na BRICS baada ya mkutano wa Oktoba
Aug 27, 2024 03:28Palestina itawasilisha ombi la kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS baada ya mkutano wa kilele wa jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika nchini Russia mwezi Oktoba. Hayo yameelezwa na balozi wa Palestina mjini Moscow Abdel Hafiz Nofal.
-
Anwar Ibrahim: Hakuna haja ya Magharibi kuufundisha Ulimwengu wa Kiislamu haki za binadamu
Aug 27, 2024 03:19Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amesema, Magharibi inajaribu kupotosha ukweli kuhusu vita vya Ghaza kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na akasisitiza kuwa, hakuna haja ya nchi za Magharibi kuufundisha Ulimwengu wa Kiislamu demokrasia na haki za binadamu.
-
Watu 20 wafariki dunia katika janga la mafuriko nchini Bangladesh
Aug 26, 2024 04:21Watu wasiopungua 20 wanaripotiwa kufariki dunia nchini Bangladesh na makumi ya wengine kujeruhiiwa kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo ya bara Asia.
-
CAIR: Israel imetangaza vita dhidi ya Uislamu kwa kuchoma moto Qur'ani
Aug 25, 2024 23:00Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuchoma moto nakali za Qur'ani Tukufu katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa wanadiplomasia wakuu wa Afrika mjini Tokyo umeendelea leo Jumapili
Aug 25, 2024 06:57Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo unaowakusanya pamoja Mawaziri wa Mambo ya Nje kwa ajili ya kujadiliana Maendeleo ya Afrika (TICAD) ambao ulifunguliwa jana Jumamosi umeendelea leo Jumapili katika mji mkuu wa Japan, Tokyo.
-
Wakazi wa Berlin waandamana kupinga kufungwa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg
Aug 25, 2024 03:39Mamia ya watu huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, jana alasiri walifanya maandamano kulalamikia na kupinga kufungwa Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (as) mjini Hamburg.
-
Waandamanaji wakusanyika mbele ya Bunge la Ireland wakiunga mkono Palestina
Aug 25, 2024 00:11Maelfu ya wananchi wa Ireland wameandamana na kukusanyika mbele ya jebngo la Bunge la nchi hiyo na kupiga nara za kuunga mkono Palestina.
-
Mwendesha Mashtaka wa ICC asisitiza Netanyahu na Gallant wakamatwe haraka iwezekanavyo
Aug 24, 2024 06:33Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewataka majaji wa mahakama hiyo watoe haraka waranti wa kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa vita wa utawala huo Yoav Gallant.
-
Watu watatu, wengine wajeruhiwa vibaya katika shambulizi la kisu Ujerumani
Aug 24, 2024 03:07Watu watatu wameuawa na wanne kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kisu lililotokea wakati wa tamasha katika mji wa magharibi mwa Ujerumani wa Solingen Ijumaa usiku huku uhalifu ukiongozeka katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Mahakama Kuu ya Venezuela yathibitisha uhalali wa uchaguzi na ushindi wa Rais Maduro
Aug 23, 2024 23:03Mahakama Kuu ya Haki ya Venezuela imethibitisha kuwa Nicolas Maduro alishinda uchaguzi wa urais wa Julai 28.