-
Russia kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na ugonjwa wa mpox
Aug 23, 2024 23:03Shirika la Russia la Rospotrebnadzor litazipatia nchi za Afrika vifaa vya kupima na kutambua virusi vya mpox, ambavyo zamani viliitwa monkeypox.
-
Russia: Ukraine imeingia Kursk kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya Magharibi
Aug 23, 2024 22:42Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (FIS) imetangaza kwamba kuingia Ukraine katika eneo la nchi hiyo katika jimbo la Kursk kulifanywa kwa ushirikiano wa mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi.
-
Ubelgiji yalaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza
Aug 22, 2024 23:25Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ubelgiji imelaani shambulizi la Israel dhidi ya makazi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Jibu la China kwa waraka wa mkakati wa nyuklia wa Marekani
Aug 22, 2024 23:09Baada ya kutangazwa habari ya kuthibitishwa waraka wa siri wa kistratijia wa nyuklia wa Marekani wa kukabiliana na kile kinachotajwa kuwa upanuzi wa haraka wa silaha za nyuklia za China, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii imesema waraka huo ni kisingizio tu cha kupanua mpango wa silaha za nyuklia wa Marekani.
-
Wakala wa Afya Ulaya: Hatari ya maambukizi ya Mpox ni ya kiwango cha chini
Aug 22, 2024 08:35Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa barani Ulaya (ECDC) kimeeleza kuwa ingawa hatari ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa mpox ni ndogo huko Ulaya, lakini kesi za mambukizi kutoka nje zinaweza kuongezeka.
-
Umoja wa Mataifa: Israel imeamuru kuhamishwa Wapalestina katika asilimia 86 ya Gaza
Aug 22, 2024 03:23Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala ghasibu wa Israel umetoa amri ya kuhamishwa Wapalestina katika takriban asilimia 86 ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa na Wazayuni.
-
"Urais pia ni kazi ya watu weusi", Michelle Obama amwambia Trump
Aug 22, 2024 03:05Michelle Obama amemshambulia mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic uliofanyika jana Jumatano, akikosoa shakhsia yake na mashambulio ya kibaguzi yaliyomlenga yeye na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Barack Obama.
-
Shirika la UN linatafuta msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Mpox
Aug 21, 2024 22:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) jana Jumatano lilianzisha ukusanyaji fedha zipatazo dola milioni 18.5 zitazotumika kutoa huduma muhimu za afya kwa wahamiaji, wakimbizi wa ndani na jamii wenyeji katika nchi za mashariki, kusini na katika Pembe ya Afrika zilizo katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa Mpox.
-
Shirika la Afya Dunia (WHO): Mpox sio "Covid" mpya
Aug 21, 2024 03:46Shirika la Afya Dunia (WHO) limesema kuwa ugonjwa wa Mpox, pamoja na aina zake mpya na za zamani, sio janga jipya kama "Covid," kwani maafisa husika wanajua jinsi ya kudhibiti kuenea kwake.
-
Mashirika ya kiraia Marekani yapinga rasimu ya sheria inayolenga watetezi wa Palestina
Aug 21, 2024 03:45Muungano wa Uhuru wa Kiraia wa New York umeutaja muswada unaopiga marufuku uvaaji wa barakoa ili kuficha utambulisho wa waandamanaji - wanaoiunga mkono Palestina na kupinga himaya na misaada ya Marekani kwa vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza - kuwa ni shambulio dhidi ya uhuru wa kujieleza.