-
Azimio la UN lataka Israel iwajibishwe kwa uhalifu wake wa kivita
Apr 06, 2024 03:25Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotaka kusitishwa kwa mauzo yote ya silaha kwa Israel, na utawala huo kuwajibishwa kwa uhalifu wa kivita unaoweza kutokea katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanasheria zaidi ya 600 waionya Uingereza: Kuipatia silaha Israel ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Apr 04, 2024 22:49Zaidi ya wanasheria 600 wa Uingereza, wakiwemo majaji watatu wa zamani wa Mahakama ya Juu, mawakili, wasomi, na majaji wakuu wastaafu, wameonya kwamba hatua ya serikali ya Uingereza ya kuupatia silaha utawala wa Kizayuni wa Israel inakiuka sheria za kimataifa.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia amuonya mwenzake wa Ufaransa kutopeleka wanajeshi Ukraine
Apr 04, 2024 22:49Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoygu amemuonya mwenzake wa Ufaransa Sebastian Lecornu dhidi ya kutuma wanajeshi wa nchi hiyo Ukraine.
-
Siku ya Quds; ubunifu wa kimataifa na mojawapo ya mifano ya kihistoria ya uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Apr 04, 2024 22:47Siku ya Kimataifa ya Quds ni ubunifu wa kwanza ulioonyeshwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa siasa za nje mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Baraza la Haki za Kibinadamu la UN lapanga vikwazo vya silaha dhidi ya Israel
Apr 03, 2024 23:46Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC) litachunguza rasimu ya azimio la kuweka vikwazo vya silaha dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Viongozi wa Kiislamu Marekani wakataa mwaliko wa Biden wa Futari kutokana na ukatili wa Israel huko Gaza
Apr 03, 2024 22:55Rais Joe Biden wa Marekani amelazimika kuandaa karamu ndogo Futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhani katika Ikulu ya White House baada ya idadi kubwa ya viongozi wa Kiislamu kukataa mwaliko wake kutokana na uungaji mkono wa Marekani kwa utawala haramu wa Israel unaotenda ukatili katika Ukanda wa Gaza.
-
Salwan Momika, Muiraki aliyiivunjia heshima Qur'an mara kadhaa, aripotiwa kufariki akiwa Norway
Apr 03, 2024 08:39Mkimbizi wa Iraq, Salwan Momika, ambaye alivunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu mara kadhaa mwaka jana, ameripotiwa kupatikana amefariki nchini Norway.
-
Dunia yaendelea kulaani shambulio la kigaidi la Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria
Apr 03, 2024 08:37Dunia imeendelea kulaani vikali sambulio la utawala haramu wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya mkutano wa dharura kuhusu mgomo huo mbaya.
-
Mtaalamu wa UN: Israel 'iliwaua kimakusudi' wafanyakazi wa misaada Gaza
Apr 03, 2024 08:30Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu anasema jeshi la Israel "limewaua kimakusudi" wafanyakazi wa misaada wa Kundi la Misaada la World Central Kitchen, WCK katika Ukanda wa Gaza.
-
Baraza la Usalama laitisha kikao cha dharura kuhusu shambulio la Israel kwenye ubalozi wa Iran
Apr 03, 2024 03:39Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao cha dharura cha kujadili shambulizi la kigaidi la Israel katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria kikao ambacho kimeshuhudia kulaaniwa vikali Israel kwa shambulio lake hilo la kigaidii.