-
Ufaransa kupiga marufuku mitandao kwa walio chini ya miaka 15, kwenda na simu skuli za sekondari
Jan 01, 2026 05:41Ufaransa itachunguza katika mwezi huu wa Januari muswada unaokusudia kupiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 15 na uchukuaji wa simu za mkononi katika skuli za sekondari.
-
Radiamali ya Russia kwa vitisho vipya vya US, Israel dhidi ya Iran
Dec 31, 2025 10:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amejibu vitisho vya hivi karibuni vilivyotolewa na Rais wa Marekani na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Araghchi: Wananchi wa Venezuela watalinda uhuru wao mkabala wa uhalifu wa US
Dec 31, 2025 02:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza upinzani wa moja kwa moja wa Tehran dhidi ya hatua yoyote ya vitisho dhidi ya ardhi, uhuru na mamlaka ya kujitawala Venezuela, akisisitiza kuwa ana imani kuwa taifa hilo la Amerika Kusini litalinda uhuru wake.
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakemea Israel kwa kutambua 'Somaliland'
Dec 30, 2025 06:35Wengi wa wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamekemea hatua ya utawala wa Israel ya kutambua eneo la Somalia la Somaliland kama nchi huru. Baadhi ya mataifa yameeleza wasiwasi kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri kwa kiwango kikubwa hali ya Wapalestina huko Gaza.
-
Khaleda Zia, Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh, afariki dunia akiwa na miaka 80
Dec 30, 2025 06:34Begum Khaleda Zia, aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh na kiongozi mashuhuri katika siasa za taifa hilo, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 80.
-
Ripoti: Hasara ya majanga ya hali ya hewa mwaka 2025 imezidi dola bilioni 120
Dec 30, 2025 02:45Ripoti mpya inaonyesha kwamba mawimbi ya joto yaliyovunja rekodi, vimbunga vya kitropiki na mvua zilizosababisha mafuriko makubwa kote duniani, vimeufanya mwaka unaomalizika wa 2025 kuwa moja ya miaka yenye hasara kubwa zaidi kwa majanga ya hali ya hewa, huku hasara za kiuchumi zikikadiriwa kuwa karibu dola bilioni 120.
-
Chuo Kikuu cha Georgetown, US chamfukuza Ripota wa UN aliyeanika jinai za Gaza
Dec 30, 2025 02:45Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema hatua ya Chuo Kikuu cha Georgetown cha Marekani ya kukata uhusiano naye ni sehemu ya vikwazo alivyowekewa na Washington kwa kufichua mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, na ushiriki wa Marekani katika jinai hizo.
-
Ni kwa sababu gani Katibu Mkuu wa NATO anang'ang'ania Ulaya iendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani?
Dec 30, 2025 02:44Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Mark Rutte ameshikilia msimamo wa kutaka nchi za Ulaya ziendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani.
-
Msimamo wa Uingereza dhidi ya wahamiaji wa DRC; kwa nini London inashadidisha mashinikizo dhidi ya nchi za Kiafrika?
Dec 29, 2025 06:58Uingereza imeibua wimbi kubwa la mijibizo na malalamiko ya ndani na ya kimataifa kwa hatua yake ya kuweka vizuizi vya viza na kupitisha mageuzi makali kwa utoaji hifadhi ya ukimbizi.
-
Korea Kusini yalazimika kufunga skuli 4,000 kwa kukosekana wanafunzi
Dec 29, 2025 03:19Wizara ya Elimu ya Korea Kusini imetangaza kuwa, skuli 4,008 za msingi, za kati na sekondari zimefungwa kote nchini humo kutokana na kupungua kwa kasi idadi ya wanafunzi, huku mamia ya taasisi za elimu na mafunzo zikibaki bila ya matumizi.