-
Kikao cha Brussels na kurudi nyuma Ulaya inayosokotwa na tofauti za ndani, katika mpango wake wa unyang'anyi wa mali za Russia
Dec 21, 2025 02:39Licha ya viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuandamwa na mashinikizo ya kisiasa ya Marekani ya kuwataka watoe msukumo wa kuvipatia suluhisho la haraka vita vya Ukraine, viongozi hao waliokutana kwenye makao makuu ya umoja huo mjini Brussels, wameamua kurudi nyuma na kulegeza msimamo katika uchukuaji uamuzi wenye gharama kubwa na hasi wa kunyakua mali za Russia,
-
Mahakama Kuu ya UN kusikiliza kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar, mwezi Januari
Dec 21, 2025 02:37Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa mwezi Januari mwakani itafanya vikao vya hadhara kuhusu mauaji ya kimbari ya Waislamu nchini Myanmar ya mwaka 2017.
-
Mahakama ya Pakistan yamhukumu Imran Khan na mkewe kifungo cha miaka 17 jela
Dec 20, 2025 12:40Mahakama Maalumu ya Pakistan mapema leo Jumamosi imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, na mkewe Bushra Bibi kifungo cha miaka 17 jela, kila mmoja wao, katika kesi ya ufisadi inayohusiana na ununuzi wa vito vya thamani kwa bei ndogo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya ICC; hujuma ya dhahir shahir inayolenga sheria na taasisi za kimataifa
Dec 20, 2025 10:10Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Iran yakemea vikwazo vya Marekani dhidi ya majaji wa ICC
Dec 20, 2025 07:18Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeilaani vikali Marekani kwa kuwawekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikisema Washington inalinda waliotenda makosa makubwa ya jinai.
-
Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?
Dec 20, 2025 02:23Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.
-
Guterres: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya majaji wa ICC vinatia wasiwasi mkubwa
Dec 19, 2025 07:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu vikwazo vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), akisisitiza jukumu la mahakama hiyo katika kuhakikisha haki kimataifa.
-
Assange awasilisha malalamiko dhidi ya Taasisi ya Nobel, asema ni chombo cha vita si amani
Dec 19, 2025 07:29Mwanzilishi wa WikiLeaks, Julian Assange, amewasilisha kesi ya jinai dhidi ya Taasisi ya Nobel huko Sweden kufuatia uamuzi wa taasisi hiyo wa kutoa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado.
-
Ufaransa: Polisi wavamia nyumba na ofisi ya Waziri wa Utamaduni kwa madai ya ufisadi
Dec 19, 2025 06:46Polisi wa Ufaransa wamevamia nyumba ya Waziri wa Utamaduni, Rachida Dati, pamoja na makao makuu ya wizara na ofisi yake katika manispaa ya Paris, kufuatia kufunguliwa uchunguzi dhidi yake kuhusu tuhuma za ufisadi, utumiaji mbaya wa madaraka na ubadhirifu wa fedha za umma.
-
Kundi la "Hanzala" lavujisha taarifa nyeti na kudukua simu ya Naftali Bennett
Dec 19, 2025 06:30Mtandao wa al Mayadeen wa Lebanon umeripoti kuwa kundi la wadukuzi wa Iran, Hanzala, limedukua simu ya waziri mkuu wa zamani wa Israel, Naftali Bennett, katika operesheni iliyopelekea kuvujishwa mada nyeti na muhimu.