-
Wasiwasi wa mamilioni ya Wamarekani kuhusu upatikanaji wa chakula; Je, Marekani kweli ni nchi tajiri?
Oct 29, 2025 08:49Kadri mgogoro wa kifedha unavyoendelea Marekani, watu milioni 42 wa nchi hii wanahofia kuhusu upatikanaji wa chakula chao.
-
Francesca Albanese: Mataifa zaidi ya 60 yamehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 29, 2025 04:03Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewafahamisha wajumbe wa Baraza Kuu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna serikali zaidi ya sitini, na hasa madola ya Magharibi na nchi kadhaa za Kiarabu, zimekuwa zikiiwezesha "mashine ya mauaji ya kimbari" ya utawala wa Israel huko Gaza.
-
Maduro: Marekani inalenga kupora mafuta, gesi na dhahabu ya Venezuela
Oct 28, 2025 04:25Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, amesisitiza kuwa ulimwengu mzima unafahamu kuwa mabepari wanaotawala Marekani wanataka kupora mafuta, gesi na dhahabu ya nchi yake.
-
Marekani yamkamata mwandishi muunga mkono Palestina Sami Hamdi
Oct 27, 2025 08:45Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.
-
Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?
Oct 27, 2025 04:26Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.
-
Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia
Oct 27, 2025 01:00Indonesia inachukulia marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo kuwa haki yake halali.
-
Kremlin: Jibu la Russia kwa shambulio lolote ndani ya ardhi yake litakuwa la maangamizi
Oct 26, 2025 23:50Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ameonya kwamba iwapo kutatokea shambulio lolote la Ukraine ndani kabisa ya eneo la Russia, vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitatoa jibu la maangamizi.
-
Russia yazindua kombora jipya linalotumia fueli ya nyuklia
Oct 26, 2025 08:31Rais Vladimir Putin wa Russia amezindua kombora jipya linalotumia fueli na mafuta ya nyuklia linaloitwa Burevestnik wakati wa kukagua kituo cha mstari wa mbele cha vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine
-
Muungaji mkono Palestina achaguliwa kuwa rais wa Ireland
Oct 26, 2025 04:34Bi. Catherine Connolly, mgombea wa mrengo wa kushoto katika uchaguzi wa urais nchini Ireland ambaye anajulikana kwa misimamo yake ya kuunga mkono Palestina, ameibuka mshindi katika uchaguzi huo.
-
Rais wa Brazil akosoa Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari Gaza
Oct 26, 2025 01:13Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva, ameukosoa Umoja wa Mataifa na taasisi za kimataifa kwa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari ya Israeli dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akiamini kwamba vyombo hivi havifanyi kazi yao ipasavyo.