-
Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India
Dec 13, 2022 08:20Duru ya tatu ya mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu iliyokuwa na anuani ya "Mchango wa Dini wa Kuishi Pamoja Katika Amani na Ustawi" umefanyika mjini New Delhi kwa kuhudhuriwa na makhatibu, shakhsia wenye vipawa na Maulamaa wa Iran na India.
-
Kuvunja rekodi ya kunyonga Saudi Arabia katika uongozi wa Bin Salman
Dec 12, 2022 22:53Mtandao wa Mirat al-Jazeera umetangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia umetoa hukumu ya mwisho ya wafungwa watano kwa sababu za kiitikadi.
-
Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi
Dec 12, 2022 07:43Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa
Dec 11, 2022 23:11Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.
-
Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel
Dec 11, 2022 05:29Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kuchukua hatua kwa lengo la kutokomeza silaha za atomiki za utawala haramu wa Israel baada ya nchi 149 wanachama wa umoja huo kuunga mkono azimio linaloutaka utawala huo wa Kizayuni "uache kufuatilia uzalishaji, uundaji, majaribio au kutaka kuwa na silaha za nyuklia" na "kuachana na mpango wa kumiliki silaha za nyuklia".
-
Safari ya Rais wa China nchini Saudi Arabia
Dec 10, 2022 22:58Rais Xi Jin Ping wa China ambaye amefanya ziara nchini Saudi Arabia mbali na kusaini mapatano ya pamoja ya ushirikiano wa kimkakati, amesaini pia hati 34 za mapatano kwa lengo la kustawisha ushirikiano wa kiuchumi na uwekezaji kati ya nchi mbili.
-
Sababu ya kupelekwa vikosi vya ulinzi wa mpakani vya serikali kuu ya Iraqi katika mipaka ya Iran na Uturuki
Dec 10, 2022 08:15Baada ya Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq kufanya kikao chake tarehe 24 Novemba na kuchukua uamuzi wa kutuma askari walinzi wa mipaka katika maeneo ya mipaka ya Iran na Uturuki' afisa mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Iraq ametoa maelezo mapya kuhusu kutumwa wanajeshi hao katika maeneo hayo tajwa.
-
Matukio ya Sudan na onyo la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo
Dec 09, 2022 22:45Makubaliano ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa Sudan yametiwa saini na vyama vya kisiasa vya nchi hiyo katika hali ambayo wengi wana wasiwasi kuhusu mustakabali wa nchi hiyo na uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Shambulio la polisi ya Ujerumani katika makao ya mrengo wa kulia wenye misimamo mikali
Dec 09, 2022 05:13Maelfu kadhaa ya polisi na vikosi vya usalama vya Shirikisho la Ujerumani vilivamia na kushambulia makao kadhaa ya kundi la mrengo wa kulia katika operesheni iliyofanyika katika pembe tofauti za nchi hiyo Jumatano asubuhi.
-
Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran
Dec 08, 2022 23:07Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote.