-
Qatar yaishtaki Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)
Dec 08, 2022 06:17Televisheni ya al Jazeera ya Qatar imewasilisha mashtaka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusu kuuliwa shahidi ripota wake, Shireen Abu Akleh, mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa Israel.
-
Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni
Dec 07, 2022 22:52Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.
-
Maendeleo ya kielimu na kisayansi ni miongoni mwa vijenzi muhimu zaidi vya nguvu za Iran ya Kiislamu
Dec 07, 2022 05:15Miongoni mwa mambo inayojivunia Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni ukuaji wa kila uchao wa kielimu na kisayansi na jinsi taifa hili lilivyo amilifu katika nyuga za kisayansi, suala ambalo limethibitishwa mara kadhaa na duru za kimataifa.
-
Khiyana zingine mbili za Imarati dhidi ya Palestina
Dec 06, 2022 22:56Isaac Herzog, Rais wa utawala haramu wa Israel Jumatatu alasiri aliwali Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarat) ikiwa ni safari yake ya pili katika nchi hiyo kwa mwaka huu wa 2022.
-
Kukiri Marekani na Israel kuhusu kutotetereshwa Iran na machafuko ya hivi karibuni
Dec 06, 2022 10:16Sambamba na himaya na uungaji mkono wa Marekani kwa wafanya fujo na machafuko nchini Iran, wachambuzi waandamizi wa masuala ya usalama wa Marekani na utawala haramu wa Israel wamekiri kwamba, Iran haijatetereshwa na machafuko hayo ya hivi karibuni.
-
Malengo ya pamoja ya Aal-Khalifa na Israeli kuhusu safari ya Herzog mjini Manama
Dec 05, 2022 22:46Isaac Herzog, mkuu wa utawala wa Kizayuni unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, aliwasili nchini Bahrain tarehe 4 Disemba kwa ziara rasmi ambapo alikutana na kuzungumza na Mfalme Hamad bin Issa wa nchi hiyo. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa mfalme huyo.
-
Wasiwasi kuhusu hasara za Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 05, 2022 04:16Baada ya kupita takriban miezi 10 tangu kuanza vita vya Ukraine na thari zake mbaya, mkuu wa Baraza la Ulaya amekiri kwamba, nchi za bara hilo zimepata hasara zaidi katika vita hivyo kuliko Marekani.
-
Vitisho vya kukandamizwa waandamanaji nchini Uingereza
Dec 04, 2022 23:17Katika miezi michache iliyopita, matatizo ya kiuchumi na kijamii katika nchi za Ulaya, hasa Uingereza, yameongezeka na kusababisha maandamano ya kijamii na mikusanyiko katika nchi hizo. Mikusanyiko mingi imekabiliwa na ukandamizaji wa vikosi vya polisi ambavyo vimekuwa vikitumia mkono wa chuma kuwatawanya waandamanaji.
-
Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin
Dec 04, 2022 06:09Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.
-
Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya
Dec 03, 2022 23:09Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.