-
Kimya cha jamii ya kimataifa na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Dec 03, 2022 06:40Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya raia wa Palestina yanaendelea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika kivuli cha kimya na upuuzaji wa jamii ya kimataifa.
-
Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine
Dec 02, 2022 22:53Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu, Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.
-
Safari ya Macron mjini Washington na ukosoaji mkubwa wa vita vya kibiashara vya Marekani dhidi ya Ulaya
Dec 02, 2022 06:46Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba ruzuku inayotolewa kwa viwanda vya nchi hiyo dhidi ya makampuni ya Ufaransa ni "hujuma isiyo ya kawaida".
-
Sisitizo la Pakistan la kuendelea na misimamo yake dhidi ya Israel
Dec 01, 2022 23:12Waziri Mkuu wa Pakistan Muhammad Shahbaz Sharif ameitaja hali ya kutia wasiwasi inayoshuhudiwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kuwa ni changamo kubwa kwa amani na usalama duniani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo
Dec 01, 2022 07:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)
-
Malengo ya safari ya as-Sudani mjini Tehran
Dec 01, 2022 00:33Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq, aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi kwa ziara ya siku mbili, na baada ya kukutana na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Iran, pia alikutana na kuzungumza na Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mihimili mitano muhimu katika matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika kikao na Waziri Mkuu wa Iraq
Nov 30, 2022 03:38Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu mpya wa Iraq aliwasili mjini Tehran Jumanne asubuhi akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake kwa safari ya siku mbili humu nchini ambapo alimtembelea Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi Kiislamu, jana alasiri.
-
Ripoti kuhusu jinai za kivita za muungano wa Saudia na Imarati nchini Yemen
Nov 30, 2022 02:21Kituo cha sheria cha Ain al-Insaniyah (Jicho la Ubinadamu) cha Yemen kimetoa takwimu za kushtua kuhusu maafa ya kibinadamu na kiwango cha uharibifu uliosababishwa na mashambulio ya muungano vamizi wa Saudia na Imarati katika nchi hiyo, takwimu ambazo zinaanika wazi wigo wa jinai za kivita zilizofanywa na muungano huo na waungaji mkono wake wa Magharibi na Wazayuni.
-
Malengo ya maadui ya kufuatilia kuligawa taifa la Iran
Nov 29, 2022 23:11Baada ya hivi karibuni kuzuka vurugu na machafuko mapya nchini Iran maadui sugu wa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu walichukua hatua ya kufuatilia senario ya kuligawa taifa hili katika kambi mbili.
-
Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela
Nov 28, 2022 22:57Baada ya kupita takriban miaka 10 ya vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Venezuela, hatimaye Washington imesalimu amri na imeamua kupigia magoti mafuta ya Venezuela.