-
Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15
Jul 07, 2022 22:01Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar nchini Iran wiki moja baada ya mazungumzo ya Doha
Jul 07, 2022 06:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Jumatano alifika mjini Tehran na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa
Jul 06, 2022 21:52Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo.
-
Marekani yafumbia macho ukweli kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh
Jul 06, 2022 02:32Licha ya kuwepo ushahidi na dalili za wazi kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh, mwandishi ya televisheni ya al-Jazeera ya nchini Qata, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa taarifa ikidai kwamba mauaji hayo hayakuwa ya makusudi.
-
Kujiondoa kwa Baraza la Kijeshi la Sudan katika mchakato wa mazungumzo na makundi ya kisiasa
Jul 05, 2022 21:56Kamanda Mkuu wa Jeshi la Sudan ametangaza kujiondoa kwa Baraza la Kijeshi la nchi hii katika mazungumzo ya moja kwa moja na makundi ya kisiasa.
-
Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish
Jul 05, 2022 03:05Jumamosi iliyopita harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilirusha ndege tatu zisizo na rubani katika anga eneo lenye utajiri wa gesi la Karish.
-
Matamshi ya Fuad Hussein kuhusu upatanishi wa Iraq kati ya Iran, Misri na Jordan
Jul 04, 2022 20:26Matamshi ya hivi karibuni ya Fuad Hussein, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iraq katika mahojiano na televisheni ya Saudi Arabia ya al-Arabiya kuhusu upatanishi wa nchi hiyo kati ya Iran, Misri na Jordan ni ya kuzingatiwa.
-
Kumbukumbu ya kushambuliwa ndege ya abiria ya Iran; jinai isiyosameheka ya Marekani
Jul 04, 2022 02:31Jana tarehe 3 Julai ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kombora lililofanywa na meli ya kivita ya Marekani ya Vincennes dhidi ya ndege ya abiria ya Iran aina ya Airbus iliyokuwa ikiruka kutoka Bandar Abbas kuelekea Dubai.
-
Mwisho wa uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa nchini Mali
Jul 03, 2022 23:41Sambamba na kuendelea kwa mvutano kati ya Ufaransa na Mali, hatimaye Paris imetangaza ukomo wa kuwepo kwa vikosi vya askari wa nchi za Ulaya vinavyojulikana kama Takuba, nchini Mali. Vikosi vya jeshi la Ufaransa vimekuwepo nchini Mali kwa takriban miaka 10 kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Tahadhari ya UN kuhusu maafa ya binadamu huko Ukanda wa Gaza
Jul 03, 2022 05:38Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba kuzingirwa kwa miaka 15 kwa Ukanda wa Gaza kumesababisha maafa makubwa katika eneo hilo.