-
Wanawake wa Afghanistan wakosoa kutoalikwa katika kikao cha Loya Jirga
Jul 02, 2022 21:43Wanawake wa Afghanistan wamekosoa kufanyika kikao cha maulamaa wa kidini wa Baraza la Ushauri kwa ajili ya amani ya Afghanistan (Loya Jiirga) bila ya wanawake wa nchi hiyo kuhudhuria. Kutoshirki wanawake katika kikao hicho kunamaanisha kupuuzwa nusu ya jamii ya watu wa Afghanistan.
-
Siasa za kundumakuwili za Wamagharibi katika mgogoro wa Ukraine
Jul 02, 2022 04:41Vita vya Ukraine vimeingia katika mwezi wake wa tano. Siasa za kundumakuwili za Wamagharibi kuhusu mgogoro huo hadi sasa zimesababisha mdororo mkubwa wa uchumi, ungezeko kubwa la umasikini katika mamilioni ya familia duniani, vifo vya makumi ya watu na vilevile kusababisha mamilioni ya watu huko Ukraine kuwa wakimbizi.
-
Sisitizo la kuwepo mabadilishano huru ya kifedha baina ya Iran na Russia, bila kutegemea Magharibi
Jul 02, 2022 01:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mabadilishano ya kifedha kati ya Iran na Russia yanapaswa kuzidishwa bila kutegemea mfumo wa miamala ya kifedha wa nchi za Magharibi.
-
"Putin" na sera ya ubeberu ya shirika la NATO
Jul 01, 2022 04:15Rais wa Russia, Vladimir Putin, amelaani "sera za kupenda makuu" za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), ambalo anaamini linalenga kuimarisha "ubeberu" wake kupitia vita vya Ukraine.
-
Uturuki yaafiki Sweden na Finland zijiunge na NATO na uwezekano wa vita vya dunia
Jun 30, 2022 20:32Hatimaye, baada ya mazungumzo mengi, kumetiwa saini mapatano ya pande tatu baina ya Ankara, Stockholm na Helsinki kuhusu Finland na Sweden kujiounga na NATO. Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amethiitisha kuwa Uturuki imeafiki Sweden na Norway zijiunge na NATO.
-
Kuanza kikao cha sita cha viongozi wa Bahari ya Kaspi huko Ashgabat
Jun 30, 2022 04:52Baada ya kusimamishwa kwa mwaka mmoja, kikao cha sita cha viongozi wa nchi tano zinazopakana na Bahari ya Kaspi kilianza Jumatano alasiri huko Ashgabat, mji mkuu wa Turkmenistan.
-
Changamoto kuu zinazomkabili Najib Miqati katika kuunda serikali mpya ya Lebanon
Jun 29, 2022 21:46Tangu siku ya Alkhamisi ya tarehe 23 Juni, Rais Michel Aoun wa Lebanon alimkabidhi Najib Miqati, mfanyabiashara mkubwa anayetokea mji wa Tripoli na mwenye umri wa miaka 66, jukumu la kuunda serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Mazungumzo ya Doha; fursa kwa Marekani ya kurudi kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 29, 2022 03:04Mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani kuhusu uondoaji vikwazo yalianza jana Jumanne katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa kupitia kwa Enrique Mora, Naibu Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya.
-
Juhudi za G7 za kukabiliana kiuchumi na China
Jun 28, 2022 21:48Viongozi wa mataifa saba yaliyoendelea kiviwanda, G7, wameafiki kuzindua mpango kabambe wa kuwekeza katika miundo msingi kwenye nchi zinazoendelea. Viongozi hao wametangaza kuwa, nchi za G7 zinakusudia kutenga dola bilioni 600 kwa ajili ya mpango huo ifikapo 2027.
-
Ukosoaji wa Iran kwa jamii ya kimataifa kwa kutowajibika ipasavyo katika vita dhidi ya dawa za kulevya
Jun 28, 2022 09:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi na taasisi za kimataifa duniani haziwajibiki katika vita dhidi ya mihadarati kwa mujibu wa majukumu yao.