-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 27, 2022 22:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Malengo ya safari ya Mustafa al Kadhimi mjini Tehran
Jun 27, 2022 06:09Mustafa la Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq, baada ya kukutana na wakuu wa Saudi Arabia mjini Jeddah, moja kwa moja ameelekea Tehran Jumapili Juni 26 na kulakiwa rasmi na Rais Ebrahim Raeisi wa Iran.
-
Kuimarishwa ushirikiano wa kiusalama na kiintelijensia kati ya Uturuki na utawala bandia wa Israel
Jun 26, 2022 20:52Katika hali ambayo utawala wa Kizayuni wa Israel umesisitiza kuwa hauko tayari kuipatia fursa za upendeleo Uturuki hususan katika usafirishaji gesi kwa ajili ya nchi za Umoja wa Ulaya ili kustawishwa uhusiano baina yao, serikali ya Recep Tayyip Erdoğan ingali inaendelea kupaparika upande wake kutaka kupanua na kustawisha uhusiano na utawala huo wa ubaguzi wa rangi.
-
Ziara ya kwanza ya Mfalme wa Qatar nchini Misri baada ya kupita miaka tisa ya uhasama
Jun 26, 2022 04:25Baada ya kupita miaka tisa ya mivutano, Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amewasili katika mji mkuu wa Misri Cairo na kulakiwa na rais wa nchi hiyo Abdel Fatah el Sisi.
-
Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria
Jun 25, 2022 22:02Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.
-
Safari ya Borell Tehran; fundo la mazungumzo ya Vienna kufunguliwa au la?
Jun 25, 2022 05:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amegusia kuhusu safari ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa Tehran.
-
Safari ya Uturuki; Urafiki wa kimbinu kati ya Erdogan na Bin Salman
Jun 24, 2022 22:34Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefanya safari mjini Ankara na kukaribishwa rasmi na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan.
-
Jamii ya Kimataifa yatakiwa kutoa msaada zaidi kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi Afghanistan
Jun 24, 2022 06:22Afghanistan inahitaji msaada wa kimataifa zaidi hivi sasa kuliko wakati wowote mwingine.
-
Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo
Jun 23, 2022 20:46Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.
-
Safari ya Lavrov mjini Tehran; ushirikiano wa muda mrefu kati ya Iran na Russia kwenye ajenda ya mazungumzo
Jun 23, 2022 03:17Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia aliwasili mjini Tehran Jumatano alasiri ambapo ameonana na kuzungumza na Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.