-
Ukosoaji mkali wa Tehran dhidi ya ripoti ya UN kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran
Jun 22, 2022 21:53Kamati ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kujibu ripoti ya hali ya haki za binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyowasilishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye kikao cha 50 cha Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Malengo tofauti ya safari ya kieneo ya Bin Salman
Jun 22, 2022 05:15Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ameanza safari yake ya kieneo kwa kufanya ziara huko Misri na kuzitembelea pia nchi mbili za Jordan na Uturuki.
-
Kuchunguzwa uanachama wa Iran na upanuzi wa Jumuiya ya Shanghai
Jun 21, 2022 20:46Kufuatia ufuatiliaji wa viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO pamoja na kufanyika vikao vya mfululizo vya jumuiya hiyo katika ngazi mbalimbali, bila shaka jumuiya hiyo sasa inabadilika na kuwa muungano mkubwa katika bara kubwa la Asia na vilevile duniani.
-
Safari ya Biden Saudi Arabia; dhihirisho halisi la haki za binadamu za Kimarekani
Jun 21, 2022 05:49Katika uhusiano wake na Saudi Arabia, Marekani daima imekuwa ikifadhilisha maslahi ya mafuta kuliko haki za binadamu na kwa msingi huo safari ijayo ya Rais Joe Biden wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu haitakuwa kinyume na siasa hiyo wala si jambo la kushangaza.
-
Kuendelea maandamano ya Watunisia wanaopinga kura ya maoni ya katiba
Jun 20, 2022 22:07Mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia umeshtadi na kupamba moto zaidi. Sambamba na kukaribia tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba, maelfu ya Watunisia wameendeleza maandamano ya kupinga kura hiyo ya maoni.
-
Hatua mpya za kustawisha uhusiano wa Iran na Kazakhstan
Jun 20, 2022 04:50Hati tisa za maelewano na waraka wa ushirikiano kati ya Iran na Kazakhstan zimesainiwa hapa Tehran katika hafla iliyohudhuriwa na marais wa nchi hizo mbili.
-
Kuendelea mtikisiko katika soko la nishati, Russia yaikatia gesi Ufaransa
Jun 19, 2022 22:03Huku vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi kuwekewa Moscow, mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhaminia nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo muhimu.
-
Waziri wa Ulinzi asisitiza kuongezwa uwezo wa jeshi la majini la Iran kulingana na ukubwa wa vitisho
Jun 19, 2022 01:15Akiwa ziarani katika mkoa wa Hormozgan kusini mwa Iran, Brigedia Jenerali Mohammad Reza Ashtiani, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametembelea miradi ya majini ya wizara hiyo huko Bandar Abbas hususan utengenezaji wa manowari, meli za kawaida za kivita na nyambizi na kusema kuwa kuimarishwa nguvu katika pande zote za ulinzi ikiwa ni pamoja na nchi kavu anga, na hasa baharini, ni moja ya vipaumbele vya mipango ya ulinzi wa nchi.
-
Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Jun 18, 2022 21:53Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Jitihada za mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia za kujiondoa katika hali ya kutengwa kisiasa kimataifa
Jun 18, 2022 05:27Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia anafanya jitihada kupitia safari na mazungumzo ya kidplomasia ili kujikwamua katika hali ya kutengwa kisiasa kwa muda mrefu.