-
Viongozi wa Tanzania watakiwa kutoa uhuru wa kisiasa + SAUTI
Nov 21, 2022 02:21Viongozi Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wametakiwa kuhakikisha harakati za kisiasa zinafanyika katika mazingira ya uhuru na haki nchini humo. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Aliyemrushia mayai Mfalme Charles kupinga utawala wa kifalme Uingereza, atiwa nguvuni + Video
Nov 09, 2022 13:23Vyanzo vya habari vya Uingereza vimeripoti leo Jumatano kukamatwa kwa mwanamume aliyemrushia mayai Mfalme Charles III na mkewe, Camelia, wakati wa ziara yakke eneo la York.
-
Rais wa Zanzibar apokea ripoti ya Kikosi Kazi iliyojadili maoni ya wananchi + SAUTI
Nov 03, 2022 04:03Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibar amepokea ripoti ya Kikosi Kazi kilichoshughulikia uchambuzi wa maoni yaliyotolewa kwenye kongamano la siku mbili lililojadili hali ya kisiasa Zanzibar mwezi uliopita. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Watu 53 wasubiri kunyongwa kwa umati Saudia, Magharibi kimya! + VIDEO
Nov 01, 2022 11:17Nchi za Magharibi zimeendelea kunyamazia kimya taarifa kuwa Saudi Arabia imepanga kuwanyonga kwa umati watu 53 nchini humo. Kwa uchache wanane kati ya watu hao ni watoto wadogo.
-
Matokeo ya Sensa: Idadi ya watu Tanzania yafikia milioni 61.74 + SAUTI
Oct 31, 2022 11:10Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Agosti mwaka huu akisema kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 61,741,120.
-
Teleskopu mpya ya Iran yawashangaza wengi duniani + Video
Oct 23, 2022 08:06Katika hatua kubwa kwa jumuiya ya wanasayansi ya Iran, wanaastronomia wa Kituo cha Kitaifa cha Uangalizi wa Anga za Mbali cha Iran (INO) wameweza kupata mafanikio makubwa.
-
Uhusiano wa Zanzibar na Iran unazidi kuimarika + SAUTI
Oct 20, 2022 16:38Meya wa jiji la Zanzibar ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jijini Dar es Salaam Tanzania na pande mbili zimehimiza mno kuendelezwa uhusiano wa damu na wa jadi baina yao. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar
-
Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Oman + SAUTI
Oct 15, 2022 17:41Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi amemaliza ziara yake ya siku nne nchini Oman na amesema kuwa, ziara yake hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 01, 2022 10:08Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 29, 2022 03:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.