Nov 03, 2022 04:03 UTC

Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibar amepokea ripoti ya Kikosi Kazi kilichoshughulikia uchambuzi wa maoni yaliyotolewa kwenye kongamano la siku mbili lililojadili hali ya kisiasa Zanzibar mwezi uliopita. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

Tags