Mashariki ya Kati
-
Iran: Hotuba ya Netanyahu katika UN inashabihiana na 'onyesho la vichekesho'
Sep 23, 2023 14:37Ujumbe wa kidiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali madai yasiyo na msingi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni Israel Benjamin Netanyahu na kusema ni "maonesho ya vichekesho" dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na shughuli zake za kieneo katika kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 11:32Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.
-
OIC: Kuimarika uhusiano wa Iran na nchi za eneo ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Sep 23, 2023 07:42Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuimarika uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za eneo la Asia Magharibi kutanufaisha ulimwengu wa Kiislamu.
-
Askari wa Israel wawashambulia waandamanaji wa Kipalestina, 30 wajeruhiwa
Sep 23, 2023 07:41Wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel wamewashambulia waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi 30 miongoni mwao.
-
Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina
Sep 22, 2023 11:33Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.
-
Mahmoud Abbas: Ni ndoto kupatikana amani bila taifa la Palestina kupata haki zake za kisheria
Sep 22, 2023 03:14Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema katika Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba: "ni ndoto na dhana batili kuweza kuleta suluhu na amani pasi na taifa la Palestina kupata haki zake za kisheria".
-
Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu
Sep 22, 2023 02:41Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiothodoksi la Jabal na Tripoli la Lebanon amelaani vitendo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini na kusisitiza kuwa, kufanya vitendo hivyo ni jambo ovu.
-
Wapinzani Wazayuni "wala sahani moja" na Netanyahu mjini New York
Sep 22, 2023 02:40Kama ilivyokuwa imetabiriwa tangu zamani, safari ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu ya kushiriki kwenye mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New Yoirk Marekani, imekuwa na vioja vingi.
-
Brigedi mpya ya Jihad Islami kukabiliana na askari Israel katika Ukingo wa Magharibi
Sep 21, 2023 12:09Brigedi Mpya imeundwa na harakati ya kupigania ukombozi wa Palestina ya Jihad Islami kukabiliana na Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
-
Amir wa Qatar: Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21
Sep 20, 2023 11:28Amir wa Qatar amesema kuwa, Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21, na kusisitiza kuwa, wananchi wa Palestina hawapaswi kuwa watumwa wa dhulma na ukatili wa wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu.