Picha
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu: Iran imejenga matumaini katika nyoyo za Waislamu
Sep 28, 2023 03:01Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema: Makubaliano ya kieneo na ya kimataifa yaliyoundwa duniani chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameibua matumaini katika nyoyo za Waislamu duniani.
-
Ufaransa yakumbwa na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
Sep 25, 2023 04:59Maelfu ya wananchi wa Ufaransa jana Jumapili waliandamana katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu Paris na katika miji mingine nchini humo wakilalamikia ubaguzi wa rangi wa kimfumo unaoendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Amir- Abdollahian: Maneno na vitisho vya utawala bandia wa Kizayuni havina nafasi
Sep 25, 2023 04:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa hii leo Wazayuni wamedhoofika pakubwa na hakuna anayebabaishwa na vitisho vya utawala huo.
-
Rais wa Iran: Maadui hawatafanikiwa kamwe kupotosha ukweli wa Qur'ani
Sep 20, 2023 11:32Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa Iran amelihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba, maadui hawatafanikiwa kupotosha uhakiika wa Qur'ani.
-
Waislamu waandamana Ujerumani kupinga vitendo vya kuvujiwa heshima Qur'ani
Aug 21, 2023 13:17Waislamu wa Ujerumani leo wamefanya maandamano wakipinga vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi
-
Jeshi la IRGC la Iran latimua helikopta za Jeshi la Majini la Marekani zilizojaribu kukiuka mpaka
Aug 21, 2023 04:38Picha za video zilizotolewa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) zinaonyesha boti za mwendo kasi za Iran zikitimua helikopta za Jeshi la Marekani ambazo zilikuwa zinajaribu kujipenyeza katika mpaka wa Iran. Baada ya kupokea onyo la IRGC helikopta hizo zilirejea katika meli ya kivita ya Marekani yenye kusheheni helikopta iliyokuwa katika eneo hilo kabla ya kuingia katika eneo la bahari ya Iran.
-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 13:57Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Waislamu wa Kondoa Tanzania walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu +VIDIO
Jul 30, 2023 08:12Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma nchini Tanzania kwa pamoja wamelaani vikali kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
-
Waislamu wa Kishia Nairobi Kenya waandamana katika kumbukumbu ya Ashura
Jul 30, 2023 08:05Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya walikusanyika kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (as) katika siku ya Ashura.
-
Waislamu wa Ghana wawataka walimwengu kupinga uchomaji Qur'ani barani Ulaya
Jul 25, 2023 15:04Waislamu wa Ghana wametoa wito wa kufanyika maandamano ya kimataifa ya kulaani uchomaji wa Qur'ani wakati huu wa maombolezo ya Muharram.