Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • EU: Uchaguzi wa Kenya ulizungukwa na ufisadi na vitisho

    EU: Uchaguzi wa Kenya ulizungukwa na ufisadi na vitisho

    Jan 10, 2018 12:43

    Mkuu wa timu ya waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti na Oktoba mwaka uliomalizika 2017 nchini Kenya amesema kampeni zilizotangulia zoezi hilo ziligubikwa na rushwa, utumiaji wa mali za umma na vitisho.

  • Kiongozi wa upinzani Uganda ataka kususiwa uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani Uganda ataka kususiwa uchaguzi

    Jan 06, 2018 04:44

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amewataka wananchi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutoshiriki uchaguzi mkuu ujao, na badala yake waunge mkono jitihada zake za kutamatisha utawala wa Rais Yoweri Kaguta Museveni.

  • Waliberia washiriki duru ya pili ya uchaguzi wa urais hii leo

    Waliberia washiriki duru ya pili ya uchaguzi wa urais hii leo

    Dec 26, 2017 04:04

    Wananchi wa Liberia wameelekea katika masanduku ya kupigia kura asubuhi ya leo kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa urais.

  • Liberia yatangaza tarehe ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais

    Liberia yatangaza tarehe ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais

    Dec 13, 2017 11:43

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Liberia imetangaza Disemba 26 kuwa tarehe ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais.

  • Uchunguzi wa maoni: Asilimia 85 ya Waganda 'hawamtaki' Museveni

    Uchunguzi wa maoni: Asilimia 85 ya Waganda 'hawamtaki' Museveni

    Dec 10, 2017 03:44

    Uchunguzi wa maoni umeonyesha kuwa asilimia 85 ya wananchi wa Uganda hawaungi mkono muswada wa kufanyia marekebisho katiba ili kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.

  • UN yasisitiza kufanyika uchaguzi mkuu nchini Libya mwaka ujao wa 2018

    UN yasisitiza kufanyika uchaguzi mkuu nchini Libya mwaka ujao wa 2018

    Dec 03, 2017 03:34

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema Walibya watafanya uchaguzi mwaka ujao wa 2018 kwa kutumia kipindi ambapo kiwango cha uingiliaji wa nchi jirani katika masuala ya nchi hiyo kitafikia kiwango cha chini zaidi.

  • Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN

    Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN

    Nov 29, 2017 04:52

    Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataapishwa kuwa rais 'halali' wa Kenya Disemba 12, wakati nchi hiyo itakuwa inaadhimisha Siku ya Jamhuri.

  • Ushindi wa Chama cha Harakati ya Ukombozi wa Taifa katika uchaguzi wa mabaraza ya miji na mabunge ya majimbo nchini Algeria

    Ushindi wa Chama cha Harakati ya Ukombozi wa Taifa katika uchaguzi wa mabaraza ya miji na mabunge ya majimbo nchini Algeria

    Nov 25, 2017 10:49

    Chama cha Harakati ya Ukombozi wa Taifa cha Algeria kimeshinda katika kuchaguzi wa mabaraza ya miji na mabunge ya majimbo uliofanyika karibuni nchini humo.

  • Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Mahakama ya Kilele Kenya yaidhinisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta

    Nov 20, 2017 11:11

    Mahakama ya Kilele nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizokuwa zimewasilishwa kupinga uchaguzi wa rais wa marudio wa Oktoba 26 na hivyo kuidhinisha ushindi wa Uhuru Kenyatta.

  • Wananchi wa Somaliland washiriki uchaguzi wa rais, matokeo Ijumaa

    Wananchi wa Somaliland washiriki uchaguzi wa rais, matokeo Ijumaa

    Nov 14, 2017 03:53

    Mamia ya maelfu ya wananchi wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Somaliland nchini Somalia wamejitokeza katika uchaguzi wa kumchagua rais wa tano wa eneo hilo, ambao unashuhudia ushindani mkali kati ya serikali na kambi ya upinzani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS