-
Aal Saud wapinga maagizo ya kiimla ya Marekani kuhusu siasa zao za kigeni
Jun 11, 2023 04:25Vyanzo vya Marekani vimetangaza kuwa Saudi Arabia imekataa maombi ya Washington ya kuitaka ijitenge na China pamoja na Russia na kusisitiza juu ya kuendeleza siasa zake huru za kigeni.
-
Aal Saud na corona ya kisiasa
Mar 24, 2020 02:34Saudi Arabia ni miongoni mwa nchi zinazoutumia kisiasa ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na kirusi cha corona.
-
Kufutwa kazi makamanda wa juu wa jeshi nchini Saudia; matokeo ya vita vya madaraka na kushindwa kijeshi Aal Saud
Feb 28, 2018 01:25Jumatatu ya juzi tarehe 26 Februari, Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdu Aziz aliendelea kufanya mabadiliko ya nyadhifa za juu za uongozi nchini humo ambapo aliwafuta kazi maafisa kadhaa wa ngazi za juu jeshini.
-
Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud
Jul 16, 2017 12:19Katika hali ambayo njama za utawala haramu wa Israel dhidi ya Masjidul-Aqsa zimeshika kasi katika siku za hivi karibuni, habari zinaripoti kuwepo harakati za utawala wa Aal-Saud kwa ajili ya kuiandalia mazingira Israel iweze kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.
-
Kiongozi wa chama cha Leba Uingereza: Simamisheni uuzaji silaha kwa Saudia
Jun 30, 2017 04:03Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza kwa mara nyingine tena ametoa wito wa kusimamishwa uuzaji wa silaha kwa utawala wa Saudi Arabia kutokana na utawala huo kuendeleza mauaji dhidi ya raia wa Yemen.
-
Ansarullah: Jinai za kinyama za Aal Saud huko Yemen ni ishara ya kushindwa Wasaudia
Aug 17, 2016 07:18Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amelaani jinai za kinyama zinazofanywa na utawala wa Aal Saud kwa kubomoa mahospitali na nyumba za raia wa Yemen na kuzitaja jinai hizo kuwa ni ishara ya kushindwa Wasaudia.
-
Defense One: Watawala wa Aal-Saud ni watenda jinai na mafisadi
Feb 20, 2016 03:07Mtandao wa habari wa Defense One wa nchini Marekani, umeutaja utawala wa Aal-Saud kuwa ni mtenda jinai na wa kifisadi.