-
Iran: Wakimbizi wa Afghanistan watarejeshwa kwao kwa heshima
Mar 25, 2025 06:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, viongozi wa Iran na Afghanistan wameandaa utaratibu mzuri wa pamoja wa kuwawezesha wakimbizi wa Afghanistan waliopo nchini Iran warejee nchini kwao kwa heshima.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 06:53Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."
-
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko nchini Afghanistan yafikia watu 400
May 19, 2024 10:42Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mvua kubwa na mafuriko yaliyoikumba Afghanistan imefikia 400 baada ya watu wengine 18 kufariki dunia kutokana na mafuriko hayo.
-
Amir Abdollahian: Kuendelea uingiliaji wa Marekani nchini Afghanistan kunatatiza zaidi hali ya nchi hiyo
May 14, 2024 05:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afghanistan kutafanya hali ya mambo ya nchi hiyo kuwa ngumu zaidi.
-
Mvua kali za mafuriko zaua watu wasiopungua 168 Pakistan na Afghanistan
Apr 20, 2024 10:41Watu wasiopungua 168 wamepoteza maisha katika matukio yaliyosababishwa na mvua, baada ya mvua kali na mafuriko kuikumba Pakistan na nchi jirani ya Afghanistan.
-
Ombi la jamii ya Shia wa Afghanistan kwa kundi la Taliban
Mar 16, 2024 02:22Wawakilishi wa jamii ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan wamewasilisha mapendekezo yao ya maandishi kwa Mohammed Abdul Kabir, naibu wa masuala ya kisiasa wa Waziri Mkuu wa utawala wa Taliban.
-
Indhari ya asasi za kimataifa kuhusu kushtadi njaa na umasikini nchini Afghanistan
Mar 06, 2024 02:14Kupungua kwa misaada ya kimataifa nchini Afghanistan kumepelekea kushadidi umaskini na njaa katika nchi hiyo.
-
Mapigano yazuka kati ya majeshi ya Pakistan na Afghanistan kwenye mpaka wa nchi mbili
Jan 21, 2024 11:25Mapigano yamezuka kati ya vikosi vya mpakani vya jeshi la Pakistan na vya utawala wa Taliban ya Afghanistan katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.
-
Islamabad yaituhumu Kabul sambamba na kufanyika juhudi za kupunguza mivutano
Jan 13, 2024 06:26Sambamba na kufanyika safari ya Mkuu wa chama cha Jamiat Ulamae Pakistan na mazungumzo yake na maafisa wakuu wa kundi la Taliban la Afghanistan kwa lengo la kupunguza mivutano, Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Pakistan kwa mara nyingine tena amedai kuwa ardhi ya Afghanistan inatumiwa na maadui dhidi ya Pakistan.
-
Iran: Hatima ileile ya kutoroka Afghanistan itawafika askari wa Marekani waliopiga kambi Iraq na Syria
Nov 30, 2023 07:17Mshauri wa ngazi ya juu wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amepongeza Kambi ya Muqawama katika eneo na kusema "kutoroka" ndio hatima ya mwisho itakayovifika vikosi vamizi vya jeshi la Marekani nchini Syria na Iraq kama ilivyotokea Afghanistan.