Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Qatar wajadili matukio ya Afghanistan

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Qatar wajadili matukio ya Afghanistan

    Apr 25, 2020 21:46

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamejadili katika mazungumzo yao kwa njia ya simu matukio ya hivi karibuni nchini Afghanistan.

  • Sisitizo la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan la kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita nchini Afghanistan

    Sisitizo la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan la kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita nchini Afghanistan

    Apr 23, 2020 21:56

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesisitizia azma na irada ya nchi yake kuendeleza juhudi za kuhitimisha vita na mapigano nchini Afghanistan.

  • Zarif azungumza na mawaziri wa mambo ya nje wa Qatar na Uturuki kuhusu Afghanistan, corona

    Zarif azungumza na mawaziri wa mambo ya nje wa Qatar na Uturuki kuhusu Afghanistan, corona

    Apr 13, 2020 22:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Qatar kuhusu matukio ya hivi karibuni kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Afghanistan.

  • Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani

    Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani

    Apr 13, 2020 21:58

    Kundi la wanamgambo wa Taliban limeonya kuwa, kutoheshimu Marekani hati ya makubaliano ya amani ya Doha Qatar kutakuwa sababu ya kuendelea vita nchini Afghanistan na kwamba, Washington ndio itakayobeba dhima ya hilo.

  • Sisitizo la Abdullah Abdullah la kuunda serikali pana huko Afghanistan

    Sisitizo la Abdullah Abdullah la kuunda serikali pana huko Afghanistan

    Apr 11, 2020 23:51

    Abdullah Abdullah ambaye anajitambua kuwa ndiye Rais wa Afghanistan amesema kuwa atatangaza baraza la mawaziri iwapo mpango wa kuunda serikali ya mirengo yote nchini humo hautakubaliwa.

  • Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo

    Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo

    Mar 28, 2020 21:48

    Bunge la Afghanistan limetangaza kuwa matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuhusu kupunguzwa kiasi cha dola bilioni moja za misaada ya nchi hiyo kwa Kabul ni kinyume na mapatano ya kistratejia ya pande mbili.

  • Umoja wa Mataifa wasema Afghanistan ndiyo nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani

    Umoja wa Mataifa wasema Afghanistan ndiyo nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani

    Mar 17, 2020 23:39

    Mwakilishi Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Watoto, ameitaja Afghanistan kuwa nchi iliyo na idadi kubwa zaidi ya vifo vya watoto duniani.

  • Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan

    Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan

    Mar 17, 2020 09:14

    Baraza la Usalama wa Taifa nchini Afghanistan limetangaza kuwa, kundi la wanamgambo wa Taliban halina irada na azma ya kweli kwa ajili ya kupatikana amani na kudhaminiwa usalama katika nchi hiyo.

  • Kushtadi vita vya kugombania madaraka kati ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani  nchini Afghanistan

    Kushtadi vita vya kugombania madaraka kati ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani nchini Afghanistan

    Mar 13, 2020 22:59

    Kufuatia kufutwa cheo cha Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah ambaye anajitambua kuwa rais wa nchi hiyo, amesema kwamba urais wa Ashraf Ghani hauna itibari yoyote.

  • Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan

    Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan

    Mar 12, 2020 01:13

    Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afganistan ametoa amri ya kuachiliwa huru kutoka gerezani wafungwa ambao ni wanachama wa kundi la wanamgambo wa Taliban.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS