Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Baada ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani kila mmoja kuapishwa kuwa rais, mzozo mkubwa wa kisiasa waibuka Afghanistan

    Baada ya Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani kila mmoja kuapishwa kuwa rais, mzozo mkubwa wa kisiasa waibuka Afghanistan

    Mar 11, 2020 13:23

    Mzozo mkubwa wa kisiasa wa kugombania madaraka nchini Afghanistan umezidi kushika kasi, baada ya washindani wakubwa wawili ambao ni Ashraf Ghani na Abdullah Abdullah kumfuta kazi mwingine.

  • Ukosoaji wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu kutowekwa wazi makubaliano ya Marekani na Taleban

    Ukosoaji wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu kutowekwa wazi makubaliano ya Marekani na Taleban

    Mar 08, 2020 07:03

    Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa makubaliano ya hivi karibuni kati ya Marekani na kundi la Taleban hayajulikani vyema.

  • ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    Mar 06, 2020 08:03

    Oktoba mwaka 2001, kwa kisingizio cha hujuma za Sepemba 11 mwaka huo, Marekani ilianzisha uvamizi dhidi ya Afghanistan. Tokea wakati huo hadi sasa Marekani imeendelea kuikalia kwa mabavu Afghanistan na askari wake wametekeleza jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuua raia wasio na hatia.

  • Licha ya kutia saini makubaliano ya amani, Taliban yaua zaidi ya askari 20 wa serikali Afghanistan

    Licha ya kutia saini makubaliano ya amani, Taliban yaua zaidi ya askari 20 wa serikali Afghanistan

    Mar 04, 2020 04:46

    Licha ya Marekani na kundi la Taliban kutiliana saini makubaliano ya kukomesha mapigano huko Afghanistan, msemaji wa jeshi la nchi hiyo kaskazini mwa Afghanistan amesema kuwa, zaidi ya wanajeshi 20 na polisi wa serikali wameuawa katika shambulio la kundi la Taliban kwenye wilaya ya Qunduz.

  • Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu kusainiwa mapatano baina ya Marekani na Taliban

    Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu kusainiwa mapatano baina ya Marekani na Taliban

    Mar 02, 2020 22:53

    Iran inaunga mkono tukio lolote ambao litasaidia kuleta amani na uthabiti nchini Afghanistan na inaunga mkono jitihada zitakazoongozwa na Afghanistan ili kufikia lengo hilo.

  • Timu ya Uthabiti na Utangamano yaandaa hafla ya kumuapisha Abdullah Abdullah, Afghanistan

    Timu ya Uthabiti na Utangamano yaandaa hafla ya kumuapisha Abdullah Abdullah, Afghanistan

    Mar 02, 2020 09:28

    Mjumbe wa ngazi ya juu wa kundi linalojulikana kwa jina la 'Uthabiti na Utengamano' ametangaza kwamba, kundi hilo linajiandaa kwa ajili ya hafla ya kumuapisha Abdullah Abdullah kama rais mpya wa Afghanistan.

  • Muhula wa kupunguzwa mapigano Afghanistan wamalizika kwa kuuawa, kujeruhiwa watu 80

    Muhula wa kupunguzwa mapigano Afghanistan wamalizika kwa kuuawa, kujeruhiwa watu 80

    Feb 29, 2020 23:07

    Takwimu rasmi zilizotangazwa na serikali ya Afghanistan zinasema kuwa muhula wa siku saba wa kupunguzwa mapigano nchini humo, umemalizika kwa kuuliwa na kujeruhiwa watu 80.

  • Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani

    Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani

    Feb 29, 2020 13:45

    Duru za habari nchini Afghanistan zimearifu kwamba serikali ya Kabul na kundi la Taleban zimekubaliana kuanza mazungumzo ya amani baina yao.

  • Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan

    Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan

    Feb 24, 2020 21:52

    Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.

  • Kutekelezwa makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan

    Kutekelezwa makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan

    Feb 23, 2020 06:59

    Makubaliano ya kupunguza mapigano nchini Afghanistan yalianza kutekelezwa Ijumaa iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS