-
Malalamiko na ukosoaji kwa ongezeko la mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya raia Afghanistan
Feb 16, 2020 23:13Ongezeko la hasara linalotokana na mashambulizi ya anga ya askari wa Marekani dhidi ya raia wa Afghanistan, limekabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa wa shakhsia, wananchi na wabunge wa nchi hiyo.
-
Mauaji ya raia yanayofanywa na Marekani ni dhihirisho la jinai za kivita
Feb 11, 2020 03:50Kamisheni ya Haki za Binaadamu nchini Afghanistan imeyataja mauaji ya raia yanayofanywa katika mashambulizi ya anga ya Marekani ndani ya nchi hiyo kuwa ni dhihirisho la jinai za kivita.
-
Watoto 17 wauawa katika hujuma ya ndege za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Feb 09, 2020 08:33Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Afghanistan limetangaza kuwa watoto 17 waliuawa nchini Afghanistan mwezi Januari mwaka 2020 katika hujuma za ndege za kivita za Marekani.
-
Rekodi mpya ya mashambulizi ya Marekani nchini Afghanistan 2019 yatolewa
Jan 29, 2020 23:09Ripoti mpya zinaelezea rekodi mpya ya mashambulizi ya Marekani nchini Afghanistan.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani akataa kutoa maelezo kuhusu ndege iliyotunguliwa Afghanistan
Jan 28, 2020 02:06Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekataa kutoa maelezo kuhusiana na ndege ya nchi hiyo iliyotunguliwa nchini Afghanistan.
-
Msimamo wa Imran Khan kuhusu njia mjarabu ya kufikiwa usalama nchini Afghanistan
Jan 27, 2020 04:37Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kusisitiza kutokuwepo njia ya utatuzi wa kijeshi kwa mzozo wa Afghanistan, amesema kuwa amani ya nchi hiyo itafikiwa pale tu kundi la Taleban litakapofanya mazungumzo na serikali ya nchi hiyo.
-
Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani
Jan 19, 2020 23:48Msemaji wa ikulu ya Afghanistan ametangaza habari ya kutofikiwa mapatano katika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani nchini Qatar.
-
2019; mwaka wa vifo vingi vya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Afghanistan
Dec 25, 2019 21:41Mwaka 2019 umetajwa kuwa mwaka wa mauti zaidi kwa wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Afghanistan tangu kumalizika rasmi oparesheni za kivita nchini humo.
-
Iran na Russia zaonya kuhusu kuhamishiwa magaidi wa Daesh Afghanistan
Dec 18, 2019 23:02Maafisa wa ngazi za juu wa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wameonya kuhusu njama za makusudi za kuwahamishia wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Afghanistan.
-
Uwepo wa askari wa Kimarekani Afghanistan, chanzo cha ukosefu wa ajira
Dec 04, 2019 21:51Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Afghanistan umeonyesha kwamba, uwepo wa askari vamizi wa Kimarekani ndio sababu ya kuongezeka kiwango cha ukosefu wa ajira kwa raia wa nchi hiyo.