-
Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar
Oct 19, 2019 02:10Msemaji wa Idara ya Siasa ya kundi la Talibal la Afghanistan amesema kuwa Marekani inakwamisha utekelezwaji wa makubaliano ya Qatar.
-
Miripuko ya mabomu yaua waumini wasiopungua 62 ndani ya msikiti nchini Afghanistan
Oct 18, 2019 12:48Watu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika miripuko kadhaa ya mabomu iliyotokea leo ndani ya msikiti katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
Marekani na pigo la kihistoria katika vita visivyo na natija nchini Afghanistan
Oct 08, 2019 08:30Baada ya kupita miaka 18 ya kuweko majeshi ya Marekani huko nchini Afghanistan kwa kisingizio cha kupambana na mtandao wa al-Qaeda na wanamgambo wa Taliban, vitendo vya utumiaji mabavu na kufurutu ada vingali vinahesabiwa kuwa tishio kubwa kwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan
Oct 06, 2019 04:31Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Afghanistan ametahadharisha kuhusu kujiunga viongozi wa kundi la Taliban na kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Shambulizi la 'drone' ya Marekani laua wakulima 30 Afghanistan
Sep 19, 2019 21:56Ndege isiyo rubani ya Marekani imetekeleza shambulizi la anga na kuua makumi ya wakulima nchini Afghanistan.
-
Rais wa Afghanistan anusurika katika shambulizi la bomu la Taliban
Sep 17, 2019 22:11Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan ameponea chupuchupu katika shambulizi la bomu lililojiri karibu na mkutano wake wa kisiasa katika mji wa Charikar, makao makuu ya mkoa wa Parwan kaskazini mwa Kabul.
-
Zarif amwambia Trump, kaulimbiu ya Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi askari wa mwisho wa Marekani
Sep 10, 2019 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemtumia ujumbe wa Twitter Rais Donald Trump wa Marekani akisema: Kaulimbiu ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi atakapobakia askari wa mwisho kabisa wa Marekani.
-
Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban
Sep 09, 2019 01:33Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.
-
Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan
Aug 31, 2019 02:08Miaka 18 iliyopita Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan na kisha ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo kwa kisingizio cha kulipiza kisasi cha mashambulio ya Septemba 11, mwaka 2001 na pia kupambana na ugaidi nchini humo. Wakati rais wa sasa wa Marekani Donald Trump alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2016 na baada ya kuingia Ikulu ya White House aliahidi kwamba atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Syria na Afghanistan, hata hivyo hadi sasa amehalifu ahadi yake hiyo.
-
Taliban: Vita vya Afghanistan vilianza kwa uvamizi wa Marekani na vitamalizika kwa kuondoka tu nchini humo
Aug 26, 2019 22:11Kundi la Taliban limesema, vita vya Afghanistan vitamalizika pale tu majeshi ya kigeni yakiongozwa na Marekani yatakapoondoka katika ardhi ya nchi hiyo.