-
Utayari wa Rais wa Afghanistan wa kufanya mazungumzo na kundi la wanamgambo wa Taliban
Jan 30, 2019 03:57Rais wa Afganistan kwa mara nyingine tena ametangaza utayarifu wa serikali ya Kabul wa kufanya mazungumzo na kundi la wanamgambo wa Taliban.
-
Kukosolewa kucheleweshwa kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Afghanistan
Jan 13, 2019 08:46Wawakilishi wa bunge la Afghanistan na waangalizi wa uchaguzi, wamekosoa hatua ya kucheleweshwa kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.
-
Serikali ya Kabul yakaribisha juhudi za Iran za kurejesha amani Afghanistan
Jan 02, 2019 23:40Serikali ya umoja wa kitaifa ya Afghanistan imekaribisha juhudi zinazofanywa na Iran za kurejesha amani nchini humo.
-
IFJ: Waandishi habari karibu mia moja wameuawa mwaka 2018 duniani
Jan 01, 2019 23:20Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari (IFJ) limetangaza kuwa, waandishi habari 94 waliuawa mwaka uliomalizika wa 2018 katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video
Dec 31, 2018 11:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.
-
Serikali ya Afghanistan; mwakilishi pekee kisheria wa kufanya mazungumzo na Taliban
Dec 14, 2018 23:09Naibu msemaji wa Rais wa Afghanistan amesema, timu ya mazungumzo kutoka serikalini ndiyo pekee iliyo na ustahiki wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la Taliban.
-
Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa
Dec 08, 2018 12:07Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.
-
Jenerali wa jeshi la Marekani akiri: Vita vya Afghanistan vimekwama, maafa ya roho za raia hayavumiliki
Dec 05, 2018 23:16Kamanda wa jeshi la Marekani Mashariki ya Kati amekiri kuwa vita vya Afghanistan vimeishia kwenye mkwamo.
-
Wanazuoni Afghanistan waharamisha kilimo cha mpopi na uzalishaji wa dawa za kulevya
Dec 04, 2018 02:11Wanazuoni wa Kiislamu wa wilaya 22 za mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan wametangaza kuwa, kilimo cha zao la mpopi, uzalishaji wa dawa za kulevya na utumiaji wake ni haramu na kinyume na sheria za dini ya Kiislamu.
-
Qassemi: "Mfumo wa mabadilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya" unafuatiliwa
Dec 03, 2018 12:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Mfumo maalumu kwa ajili ya mabadilishano ya fedha kati ya Iran na Ulaya kwa kifupi SPV ungali unaendelea kufuatiliwa; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshabainisha wazi mategemeo iliyonayo katika suala hilo.