Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Nov 28, 2018 04:09

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.

  • Afghanistan katika hatari ya kutumbukia kwenye moto wa vita vya kimadhehebu

    Afghanistan katika hatari ya kutumbukia kwenye moto wa vita vya kimadhehebu

    Nov 25, 2018 04:36

    Mlipuko wa bomu uliotokea katika jimbo la Khost kusini mashariki mwa Afghanistan Ijumaa iliyopita ulipelekea karibu watu 30 kupoteza maisha na makumi ya wengine kujeruhiwa.

  • Shambulizi la kigaidi laua watu 50 wakisherehekea Maulidi Afghanistan

    Shambulizi la kigaidi laua watu 50 wakisherehekea Maulidi Afghanistan

    Nov 21, 2018 04:23

    Watu wasiopungua 50 wameuawa katika shambulizi la kigaidi lililolenga mkusanyiko wa Waislamu waliokuwa katika sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Pakistan: Hatubebi dhima ya kushindwa Marekani nchini Afghanistan

    Pakistan: Hatubebi dhima ya kushindwa Marekani nchini Afghanistan

    Nov 20, 2018 11:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan ametupilia mbali madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba Islamabad inawaunga mkono magaidi na kusisitiza kuwa, Pakistan si tu haibebi dhima ya kushindwa Washington nchini Afghanistan, lakini pia iliongoza juhudi za mwanzo za kutoa mchango chanya wa kuleta amani ndani ya nchi hiyo jirani.

  • Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama

    Kharrazi: Kuwepo Marekani nchini Afghanistan kumezidisha matatizo ya kiusalama

    Nov 12, 2018 04:47

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amesema kuwa Marekani imezidisha tu matatizo ya kiuaslama kwa Afghanistan baada ya kuweko nchini humo kwa muda wa miaka 17.

  • 'Vita dhidi ya ugaidi' vilivyoanzishwa na Marekani vimeua watu 500,000 Afghanistan, Iraq na Pakistan

    'Vita dhidi ya ugaidi' vilivyoanzishwa na Marekani vimeua watu 500,000 Afghanistan, Iraq na Pakistan

    Nov 09, 2018 01:22

    Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Brown nchini Marekani umeonyesha kuwa vita eti vya kupambana na ugaidi vilivyoanzishwa na nchi hiyo vimeua watu wapatao nusu milioni katika nchi za Iraq, Afghanistan na Pakistan katika kipindi cha miaka 17 iliyopita.

  • Taliban wanawakata vidole watu waliopiga kura katika uchaguzi wa Bunge

    Taliban wanawakata vidole watu waliopiga kura katika uchaguzi wa Bunge

    Oct 24, 2018 23:03

    Kundi la Taliban nchin Afghanistan linawasaka na kuwakata vidole raia walioshiriki katika zoezi la uchaguzi wa Bunge nchini humo.

  • Qassemi: Iran na Afghanistan zina historia kongwe katika uhusiano wa pande mbili

    Qassemi: Iran na Afghanistan zina historia kongwe katika uhusiano wa pande mbili

    Oct 15, 2018 10:42

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Afghanistan ni jirani muhimu wa Iran na kwamba, historia kongwe iliyoko katika uhusiano wa pande mbili inalazimu nchi hizo kuwa na ushirikiano zaidi katika nyuga mbalimbali.

  • UN: Raia 8,000 wa Afghanistan wameuawa, kujeruhiwa 2018

    UN: Raia 8,000 wa Afghanistan wameuawa, kujeruhiwa 2018

    Oct 10, 2018 22:58

    Ripoti mpya ya Ujumbe wa Usaidizi wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) imesema raia zaidi ya elfu nane wa Kiafghani wameuawa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi tisa ya kwanza ya mwaka huu 2018.

  • Kufeli vibaya Marekani nchini Afghanistan

    Kufeli vibaya Marekani nchini Afghanistan

    Oct 09, 2018 02:21

    Sambamba na kumbukumbu ya miaka 17 ya kuvamiwa Afghanistan na Marekani, uchunguzi wa maoni unaonesha kuwa wananchi wengi wa Afghanistan wanaamini kwamba Marekani imeshindwa na kufeli vibaya nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS