-
Utayari wa maulamaa wa Pakistan wa kusaidia mchakato wa amani nchini Afghanistan
Oct 07, 2018 03:27Maulamaa wa Pakistan wametangaza utayari wao wa kusaidia kuhitimisha vita nchini Afghanistan na kurejesha amani ya kudumu katika nchi hiyo.
-
Qassemi: Madola huru yasimame kukabiliana na saiasa za kibeberu za Marekani
Sep 17, 2018 10:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikao cha pande tatu cha Iran, Afghanistan na India kuhusiana na kuimarisha ushirikiano wa kieneo kilikuwa na mafanikio.
-
Radiamali ya mahakama ya ICC kwa vitisho vya Marekani
Sep 11, 2018 20:49Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) yenye makao yake mjini Hague Uholanzi imejibu vitisho vya Marekani kwa kusema kuwa itaendelea kufanya uchunguzi wake kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Marekani nchini Afghanistan.
-
Afisa wa Umoja wa Mataifa apongeza uamuzi wa Kiongozi Muadhamu wa kuwapatia elimu watoto wa Kiafghani
Sep 03, 2018 09:08Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) amesema kuwa agizo lililotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kuwapatia elimu watoto wa Kiafghani hapa Iran ni moja ya siasa zilizopiga hatua katika kutoa huduma kwa wakimbizi na ni hatua ya kupigiwa mfano na inayopasa kupongezwa.
-
Kundi la Taleban laapa kulitokomeza genge la Daesh nchini Afghanistan
Aug 30, 2018 10:53Kwa mara nyingine msemaji wa kundi la Taleban nchini Afghanistan ametoa onyo kali kwa wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Zarif: Marekani imejitakia yenyewe kutengwa kimataifa baada ya kujitoa katika JCPOA
Aug 16, 2018 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani imejitakia yenyewe kutengwa kimataifa baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia na Iran.
-
Maulama wa Afghanistan: Njia pekee ya kuhitimisha mauaji nchini ni kupambana na askari wa kigeni
Aug 07, 2018 02:35Maulama na viongozi wa kikabila wa jimbo la Farah, magharibi mwa Afghanistan wamewataka askari wa kigeni waliomo nchini humo kuondoka mara moja.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti nchini Afghanistan
Aug 04, 2018 03:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan.
-
Magaidi washambulia msikiti Afghanistan na kuua waumini 25 katika Swala ya Ijumaa
Aug 03, 2018 10:59Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua 25 na kujeruhi wengine zaidi ya 40.
-
Magaidi wa ISIS kaskazini mwa Afghanistan wahamishwa kwa helikopta zisizo na alama
Aug 02, 2018 03:41Mwanachama wa Baraza la Mkoa wa Jozjan nchini Afghanistan amefichua kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh ambao wameshindwa katika mkoa huo hivi sasa wameanza kutoroka.