-
WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan
Jan 20, 2023 07:56Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake mpya kuwa vituo 97 vya afya na tiba vimesitisha sehemu ya shughuli zao au vimeacha kikamilifu kutoa huduma nchini Afghanistan.
-
Hassan Qomi: Iran inashirikiana na serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Jan 12, 2023 04:17Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Afghanistan ameeleza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashirikiana na serikaliya muda ya Taliban katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja ya kiuchumi kwa kuzingatia siasa za kuwasaidia wananchi wa Afghanistan.
-
Taliban: Mauaji aliyofanya mwanamfalme wa Uingereza Afghanistan ni "uhalifu wa kivita"
Jan 07, 2023 07:19Kufuatia kauli ya mwanamfalme wa Uingereza Harry, ya kuungama kwamba aliua Waafghani 25 wakati wa vita nchini Afghanistan, maafisa wa serikali ya Taliban wametangaza kuwa hatua hiyo ya mwanamfalme huyo wa Uingereza ni uhalifu wa kivita.
-
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) yasisitiza wasichana kupatiwa elimu Afghanistan
Dec 31, 2022 12:59Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ametoa wito wa kufanyika kampeni ya kuandaa mazingira ya kupatiwa elimu wasichana wa Afghanistan.
-
'Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani'
Dec 29, 2022 12:36Balozi wa Iran mjini Kabul Afghanistan amesema kuwa, lengo kuu la Marekani la kuivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan halikuwa kupambana na ugaidi bali lilikuwa ni kuzidhibiti nchi zinazopakana na Afghanistan.
-
Baraza la Usalama la UN litoa wito wa kushirikishwa kikamilifu wanawake nchini Afghanistan
Dec 28, 2022 08:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi wake juu ya uamuzi wa Taliban wa kuwazuia wanawake kuhudhuria masomo katika vyuo vikuu na kutoa wito wa ushirikishwa kamili na kwa dhati wanawake na wasichana nchini Afghanistan.
-
Taliban yadai: Kusimamishwa masomo ya chuo kikuu kwa wasichana ni kwa muda tu
Dec 22, 2022 07:17Msemaji wa kisiasa wa serikali ya Taliban nchini Qatar amesema uamuzi wa kuchelewesha mchakato wa masomo kwa wasichana katika vyuo vikuu ni wa muda tu.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 07:24Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.
-
Umoja wa Mataifa na kutotoa kiti kwa serikali ya Taliban
Dec 17, 2022 11:29Umoja wa Mataifa umepuuza na kutupilia mbali takwa la serikali ya Taliban na hivyo kwa mara nyingine tena kukikabidhi kiti cha uwakilishi wa Afghanistan katika umoja huo kwa Nasir Ahmad Faiq Mwakilishi wa Kudumu wa Afghanistan katika Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kuchunguzwa jinai za jeshi la Marekani nchini Afghanistan
Nov 21, 2022 10:53Sambamba na kuanza uchunguzi kuhusiana na jinai za kivita nchini Afghanistan unaofanywa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa wito wa kuchunguzwa mashambulio ya mauaji ya jeshi la Marekani nchini Afghanistan.