-
Taliban yadai: Kusimamishwa masomo ya chuo kikuu kwa wasichana ni kwa muda tu
Dec 22, 2022 07:17Msemaji wa kisiasa wa serikali ya Taliban nchini Qatar amesema uamuzi wa kuchelewesha mchakato wa masomo kwa wasichana katika vyuo vikuu ni wa muda tu.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 07:24Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.
-
Umoja wa Mataifa na kutotoa kiti kwa serikali ya Taliban
Dec 17, 2022 11:29Umoja wa Mataifa umepuuza na kutupilia mbali takwa la serikali ya Taliban na hivyo kwa mara nyingine tena kukikabidhi kiti cha uwakilishi wa Afghanistan katika umoja huo kwa Nasir Ahmad Faiq Mwakilishi wa Kudumu wa Afghanistan katika Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kuchunguzwa jinai za jeshi la Marekani nchini Afghanistan
Nov 21, 2022 10:53Sambamba na kuanza uchunguzi kuhusiana na jinai za kivita nchini Afghanistan unaofanywa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa wito wa kuchunguzwa mashambulio ya mauaji ya jeshi la Marekani nchini Afghanistan.
-
Kusambaratika miundombinu ya uchumi wa Afghanistan katika miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu na Marekani
Nov 18, 2022 02:19Waziri wa Uchumi wa serikali ya wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan amesema kuwa, miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na wanajeshi wa Marekani ndio sababu kuu ya kusambaratika miundombinu ya uchumi wa nchi hiyo.
-
Kukaribia kumalizika muhula wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Nov 08, 2022 02:27Msemaji wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amesema kipindi cha uongozi wa serikali hiyo kitamalizika baada ya muda si mrefu ujao.
-
Pongezi za Abdulllah Abdullah kwa uungaji mkono na misaada ya Iran kwa Afghanistan
Nov 06, 2022 06:56Mkuu wa zamani wa Baraza Kuu la Maslahi ya Taifa la Afghanistan amepongeza na kushukuru misaada na uungaji mkono wa serikali na wananchi wa Iran kwa Afghanistan khususan kwa kuwasaidia wakimbizi wa nchi hiyo.
-
Taliban: Ghairi ya Ashraf Ghani tumewatolea mwito shakhsia wote Waafghani wa kurudi nchini
Oct 23, 2022 11:52Msemaji wa tume ya serikali ya Taliban ya kuwasiliana na shakhsia wa Afghanistan waliokimbilia nje ya nchi amesema, ukiondoa rais wa zamani Ashraf Ghani, tume hiyo imewatumia salamu za kuwataka warudi nyumbani shakhsia wengine wote wa nchi hiyo walioko ughaibuni.
-
Sera mpya za Marekani Afghanistan
Oct 09, 2022 02:20Karen Decker Kaimu Balozi wa Marekani nchini Afghanistan amesema kuwa ni jambo lililo mbali kwa nchi yake kurejea tena kijeshi huko Afghanistan.
-
Jeshi la Marekani limeua raia wasiopungua 71,000 nchini Afghanistan
Oct 07, 2022 11:34Askari wa jeshi vamizi la Marekani wameua raia wasiopungua elfu 71 wa Afghanistan katika kipindi cha miaka ishirini ya kuikalia kwa mabavu ardhi ya nchi hiyo.