-
Afrika CDC: Dunia isibabaike kutokana na kirusi cha Omicron
Dec 03, 2021 00:55Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwa watulivu na iache kubabaika kutokana na kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron.
-
Mkutano wa 3 wa mabinti wa Kiafrika wa kupiga vita ndoa za Utotoni wafanyika Niger
Nov 18, 2021 23:28Niger imekuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Mabinti wa Kiafrika ambao ulianza shughuli zake tarehe 16 hadi 18 mwezi huu wa Novemba.
-
Kifo cha FW De Klerk chaibua hisia tofauti nchini Afrika Kusini
Nov 12, 2021 04:23Kifo cha rais wa mwisho mweupe wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Frederik Willem (FW) de Klerk kimeibua hisia tofauti baina ya raia na wanasiasa ndani na nje ya nchi hiyo.
-
HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU
Oct 18, 2021 00:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel kibali cha kuwa mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).
-
Faki Mahamat: Utegemezi unatishia uhuru wa kujitawala AU
Oct 15, 2021 00:49Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema mataifa ya bara hilo yanapaswa kushirikiana na kufanya kazi pamoja, ili kuhakikisha kuwa yanaondokana na utegemezi na vilevile yanajikomboa kifedha.
-
AU yaunga mkono kuundwa kikosi cha pamoja nchini Somalia
Oct 12, 2021 04:37Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limetangaza kuunga mkono pendekezo la kuundwa kikosi cha pamoja cha Umoja wa Mataifa nchini Somalia, kitakachochukua nafasi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini humo (Amisom), iwapo wazo hilo litapasishwa.
-
Russia: Matatizo ya bara la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika
Oct 07, 2021 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, matatizo ya baraza la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika na akaongeza kwamba Russia inaweza kuandaa mazingira ya kuwekwa askari wa kulinda amani barani humo.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapungua kwa asilimia 13
Oct 07, 2021 21:19Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema bara la Afrika limeshuhudia kupungua kwa maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 katika kipindi cha wiki moja.
-
Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 8 na laki 3
Oct 05, 2021 04:34Kesi zilizothibitishwa za maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 katika nchi 55 za Kiafrika hadi kufikia jana Jumatatu zimepindukia watu milioni nane na laki tatu.
-
WHO: Asilimia 4 tu ya Waafrika ndio waliopata chanjo ya corona
Sep 30, 2021 08:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, nchi 14 za Afrika pekee ndizo zilizokuwa zimetoa chanjo ya corona kwa zaidi ya asilimiia 10 ya jamii zao hadi kufikia mwishoni mwa mwezi uliopita wa Septemba.