-
Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel
Jul 11, 2021 03:52Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonana na wakuu wa nchi tano za eneo la Sahel ya Afrika ambazo ni Chad, Mali, Burkina Faso, Mauritania na Niger. Ingawa kikao hicho kimefanyika kwa njia ya Intaneti, lakini Rais Mohammad Bazoum wa Niger yeye ameshiriki kikao hicho akiwa ziarani nchini Ufaransa.
-
Wasichana wahajiri wa Kiafrika wananajisiwa na hata kupewa ujauzito katika kambi ya EU, Libya
Jun 21, 2021 08:12Kundi la wasichana wahamiaji waliowekwa katika kituo kinachosimamiwa na serikali ya Libya wamewashutumu walinzi wa kituo hicho, kinachofadhiliwa na Umoja wa Ulaya, kwamba wanawabaka na kuwanyanyasa kingono.
-
Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku
Jun 19, 2021 00:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limefichua kuwa, watu wasiopungua milioni 146 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayonasibishwa na matumizi ya tumbaku barani Afrika.
-
Wanahabari wa Afrika wataka Israel iwajibishwe kwa shambulio la Gaza
Jun 15, 2021 22:04Waandishi wa habari wa Afrika wameutaka Umoja wa Afrika (AU) ulaani mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwashambulia wanahabari wa Palestina, sanjari na kuubebesha dhima kisheria utawala huo kwa jinai zake dhidi ya wanahabari.
-
Africa CDC: Ni asilimia 0.6 tu ya watu wa Afrika ndio waliopata chanjo kamili ya COVID-19
Jun 11, 2021 08:12Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimetangaza kuwa, hadi sasa nchi za Afrika zimepata dozi milioni 55 za chanjo za COVID-19.
-
Viongozi wa Kiafrika wajadili hali ya kisiasa Chad; wawataka wanasiasa kuzingatia maslahi ya taifa
Jun 05, 2021 03:28Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika wamekutana huko Brazaville mji mkuu wa Congo kufuatia kuongezeka hali ya wasiwasi katika nchi ya Chad. Viongozi wa Congo, Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki kikao hicho.
-
AU pia yasimamisha uanachama wa Mali, yatishia vikwazo
Jun 02, 2021 02:21Umoja wa Afrika umetangaza kusimamisha uanachama wa Mali, ikiwa ni jibu kwa hatua ya wiki iliyopita ya jeshi la nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufanya mapinduzi dhidi ya serikali ya mpito.
-
Zimbabwe ni miongoni mwa nchi bora katika malipo ya mtandaoni barani Afrika
May 28, 2021 22:09Zimbabwe imepiga hatua kubwa katika sekta ya teknolojia za kidijitali ikiwa ni pamoja na mapinduzi katika malipo ya pesa kwa kutumia simu za mkononi ambapo hivi sasa watu milioni 7.67 kati ya milioni 14.5 nchini humo wanatumia simu za mkononi katika miamala ya kifedha.
-
Mataifa ya Kiafrika yalaani uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Masjidul-Aqswa
May 10, 2021 03:19Mataifa ya Kiislamu barani Afrika yametoa taarifa ya kulaani hujuma na uvamizi wa jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
AU: Tuko tayari kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa Somalia
Apr 22, 2021 22:02Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limesema liko tayari kuandaa na kusimamia mazungumzo ya kukwamua mgogoro wa kisiasa unaoikabili Somalia.