-
Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan
Apr 24, 2020 02:38Ubalozi wa Marekani nchini Sudan umetangaza kuwa, afisa mmoja wa ubalozi huo amesalimika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Kharotum.
-
Vifo vya corona vyaongezeka kwa asilimia 38 barani Afrika
Apr 23, 2020 22:15Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 vimeongezeka kwa asilimia 38 barani Afrika.
-
SADC yasikitishwa na ongezeko la dhulma za kijinsia wakati huu wa Corona
Apr 23, 2020 10:19Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa mwito wa kuwepo jitihada na ushirikiano wa pamoja wa kukabiliana na ongezeko la dhulma za kijinsia barani Afrika, wakati huu wa janga la Corona.
-
WHO yatahadharisha tena kuhusu maafa ya corona Afrika, Morocco yarefusha muda wa karantini
Apr 19, 2020 22:04Kwa mara nyingine tena Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu janga la corona barani Afrika na kusema kuwa, bara hilo linasubiri kushuhudia maafa makubwa ya COVID-19.
-
Maambukizi ya Corona Afrika; kuongezeka vifo na umaskini
Apr 18, 2020 22:03Maambukizi ya maradhi ya corona barani Afrika yamezidisha wasiwasi kuhusu hali ya afya na matibabu na vile vile hali ya kiuchumi ya nchi mbalimbali za bara hilo. Katika uwanja huo, Kamisheni ya Kiuchumi ya Afrika yenye mfungamano na Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuaga dunia zaidi ya watu 300,000 kutokana na maambukizi ya corona katika bara hilo.
-
UNDP: Janga la corona linaweza kusambaratisha uchumi wa bara la Afrika
Apr 16, 2020 10:31Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) katika kanda ya Afrika ametahadharisha kuwa, kuenea kwa virusi vya corona barani Afrika kunaweza kusambaratisha uchumi wa nchi za bara hilo.
-
Waliopona Corona katika nchi za Afrika ni zaidi ya 3,000
Apr 15, 2020 03:40Takwimu mpya za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zinaonyesha kuwa, watu 3,235 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona katika nchi 52 za Afrika wamepata afueni.
-
Corona imeua watu karibu 800 hadi sasa barani Afrika
Apr 14, 2020 08:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Umoja wa Afrika kimesema takriban watu 800 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona barani Afrika.
-
Waafrika 111 waishio Guangzhou, China wabainika kuambukizwa virusi vya corona
Apr 14, 2020 03:35Jumla ya raia 111 wa nchi za Kiafrika wanaoishi katika mji wa Guangzhou ulioko kusini mwa China wamebainika kuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la China, Xinhua.
-
China yakemea ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika waishio nchini humo kwa kisingizio cha corona
Apr 10, 2020 09:17Wizara ya Mambo ya Nje ya China imekemea vitendo vya unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya Waafrika wanaoishi katika jimbo la Guangdong kusini mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, serikali ya Beijing itaendelea kuhakikisha raia wote wa kigeni wanapatiwa haki sawa nchini humo.