-
Uchaguzi mkuu Burundi wafanyika leo licha ya changamoto ya virusi vya Corona
May 20, 2020 07:04Wananchi wa Burundi waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wamejitokeza na kushiriki katika uchaguzi wa Rais na wawakilishi wao wa Bunge licha ya kuweko changamoto mbalimbali kama tishio la virusi vya Corona.
-
Umoja wa Mataifa: Huenda mamilioni wakakumbwa na baa la njaa Afrika kutokana na janga la Corona
May 20, 2020 06:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha juu ya mamilioni ya watu kukumbwa na baa la njaa barani Afrika litakalosababishwa na janga la sasa la virusi vya Corona.
-
WHO yatoa utabiri wake mpya kuhusiana na hali ya Corona barani Afrika
May 16, 2020 08:06Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa utabiri likisema kuwa robo moja ya jamii ya watu bilioni moja barani Afrika, itapatwa na virusi vya Corona kufikia mwaka ujao wa 2021.
-
Marais wa Tanzania na Burundi 'wasusia' mkutano wa EAC wa kujadili corona
May 13, 2020 03:47Marais John Pombe Magufuli wa Tanzania na Pierre Nkurunziza wa Burundi hawakushiriki kwenye mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wa kujadili janga la corona uliofanyika jana Jumanne kwa njia ya video.
-
Rais Rajoelina awaponda Wamagharibi kwa kuwadhalilisha wanasayansi wa Kiafrika
May 13, 2020 03:46Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amezikosoa vikali nchi za Ulaya kwa kutilia shaka dawa ya asili inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19 iliyozinduliwa na nchi yake akisisitiza kuwa, iwapo dawa hiyo ingelikuwa imegunduliwa katika nchi za Ulaya, isingetiliwa shaka.
-
UN: Vifo vya Ukimwi kuongezeka maradufu Afrika kutokana na janga la corona
May 12, 2020 10:13Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, huenda vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ukimwi katika nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika vikaongezeka mara mbili, iwapo jitihada za kiafya za kuwashughulikia wenye virusi vya HIV zitakatizwa na janga la kimataifa la corona.
-
Indhari ya WHO; huenda corona ikaua watu 190,000 barani Afrika
May 07, 2020 22:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa, yumkini ugonjwa wa Covid-19 (corona) ukaua watu baina ya 83,000 na 190,000 katika nchi za Afrika ndani ya miezi michache ijayo, iwapo maradhi hayo hayatadhibitiwa.
-
Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano
May 06, 2020 20:09Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Corona yawakatizia masomo watoto milioni 127 mashariki na kusini mwa Afrika
May 05, 2020 03:36Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema janga la corona limewakatizia masomo mamilioni ya watoto katika maeneo ya mashariki na kusini mwa Afrika.
-
Kesi za Corona zilizoripotiwa Afrika hadi sasa zapindukia 40,000
May 02, 2020 22:40Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (Corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia jana Jumamosi imepindukia 40,000, kutoka 39,018 iliyoripotiwa Ijumaa.