-
Corona imeua watu karibu 800 hadi sasa barani Afrika
Apr 14, 2020 08:05Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Umoja wa Afrika kimesema takriban watu 800 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona barani Afrika.
-
Waafrika 111 waishio Guangzhou, China wabainika kuambukizwa virusi vya corona
Apr 14, 2020 03:35Jumla ya raia 111 wa nchi za Kiafrika wanaoishi katika mji wa Guangzhou ulioko kusini mwa China wamebainika kuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la China, Xinhua.
-
China yakemea ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika waishio nchini humo kwa kisingizio cha corona
Apr 10, 2020 09:17Wizara ya Mambo ya Nje ya China imekemea vitendo vya unyanyasaji na ubaguzi dhidi ya Waafrika wanaoishi katika jimbo la Guangdong kusini mwa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, serikali ya Beijing itaendelea kuhakikisha raia wote wa kigeni wanapatiwa haki sawa nchini humo.
-
Waliothibitishwa kuambukizwa Corona Afrika wapindukia 10,000
Apr 09, 2020 06:56Watu wengine 535 wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya corona barani Afrika na kuifanya idadi ya watu wenye ugonjwa wa COVID-19 katika nchi 52 za bara hilo kufikia 10,692.
-
Raia weusi wanaathiriwa kwa wingi na corona Marekani huku UN ikionya kuhusu ubaguzi katika utoaji huduma
Apr 07, 2020 10:27Takwimu za majimbo mbali mbali nchini Marekani zinaonyesha kuwa jamii za raia weusi wenye asili ya Afrika ndizo zinazoathiriwa kwa wingi na maambukizo ya virusi vya corona.
-
WHO: Afrika haitakuwa uwanja wa kufanyia majaribio chanjo ya corona
Apr 07, 2020 03:14Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amekosoa vikali matamshi ya kibaguzi ya madaktari wawili wa Ufaransa waliopendekeza kufanyia majaribio chanjo ya corona barani Afrika.
-
Rais wa Kenya aamuru kusitishwa harakati zote Nairobi, Mombasa na kaunti kadhaa kwa hofu ya corona
Apr 06, 2020 11:54Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua mpya zinazolenga kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, ambao hadi sasa umewapata watu 158 na kuchukua roho za wagonjwa sita.
-
Wananchi wakosoa mpango wa kufanyia majaribio chanjo ya corona DRC
Apr 05, 2020 03:42Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekosoa vikali mpango wa kufanyia majaribio chanjo ya corona nchini humo ambao serikali imeafiki.
-
Watu 29 wauawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Apr 04, 2020 03:19Kwa akali watu 29 wameuawa katika shambulio la kigaidi nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
WHO: Zaidi ya watu 2,600 wameambukizwa virusi vya corona barani Afrika
Mar 29, 2020 04:31Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa idadi ya watu walioathiriwa na virusi vya corona barani Afrika imepita watu 2,600.