Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Yoweri Museveni ataka viongozi wa

    Yoweri Museveni ataka viongozi wa "maisha" watawale Afrika, wapinzani wapinga

    May 13, 2019 09:58

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameyataka mataifa ya Afrika yaondoe sheria zinazowazuia viongozi wenye umri mkubwa na waiotawala muda mrefu kuwania urais katika nchi zao. Ametoa mwito huo mwezi mmoja baada ya Mahakama ya Juu nchini Uganda kuunga mkono hatua ya bunge la nchi hiyo ya kuondoa ukomo wa kuwania urais nchini humo, ili kumpa nafasi Museveni ya kuendelea kuwa rais.

  • Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao wa kiulinzi

    Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao wa kiulinzi

    May 06, 2019 06:35

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa muda mrefu wa kiulinzi na kijeshi baina yao.

  • Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa

    Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa

    Apr 27, 2019 03:08

    Zaidi ya viongozi 40 na wajumbe elfu tano kutoka nchi mbalimbali duniani wanakongamana katika Mkutano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" katika mji mkuu wa China, Beijing uliong'oa nanga hapo jana.

  • IOM: Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa soka Yemen

    IOM: Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa soka Yemen

    Apr 26, 2019 09:56

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa mpira wa miguu katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.

  • Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Apr 24, 2019 23:50

    Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la Reuters umefichua kuwa, tani za dhahabu zenye thamani ya mabilioni ya dola zinasafirishwa kila mwaka kwa njia za magendo kutoka Afrika kuelekea Marekani na nchi za Ulaya, huku Umoja wa Falme za Kiarabu ukitajwa kuwa lango kuu la biashara hiyo haramu.

  • Ukimwi unaua Waethiopia 16,000 kila mwaka

    Ukimwi unaua Waethiopia 16,000 kila mwaka

    Mar 28, 2019 03:29

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa Waethiopia zaidi ya elfu 16 wanafariki kila mwaka kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.

  • Kesi za kipindupindu zaripotiwa huku baa la njaa, maradhi yakiwanyemelea manusura wa kimbunga Afrika

    Kesi za kipindupindu zaripotiwa huku baa la njaa, maradhi yakiwanyemelea manusura wa kimbunga Afrika

    Mar 23, 2019 03:11

    Kesi kadhaa za watu waliokumbwa na ugonjwa wa kipindupindu zimeripotiwa katika mji wa Beira nchini Msumbiji, hivyo kuzidisha uwezekano wa ugonjwa huo hatari kuwakumba mamia ya maelfu ya watu wanaotaabika kutafuta hifadhi, chakula na maji kufuatia mafuriko ya gharika yaliyosababishwa na kimbunga cha Idai.

  • Idadi ya waliokufa katika kimbunga cha Idai kusini mwa Afrika yafikia watu 215

    Idadi ya waliokufa katika kimbunga cha Idai kusini mwa Afrika yafikia watu 215

    Mar 18, 2019 11:03

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbunga cha Idai kilichopiga katikati ya Msumbiji wiki iliyopita imeshafikia 215. Kimbunga hicho kimefika pia Zimbabwe na Malawi na kusababisha mafuriko na uharibifu mkubwa.

  • Afrika yataka kupanua ushirikiano wa kielimu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Afrika yataka kupanua ushirikiano wa kielimu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Mar 11, 2019 13:21

    Kamishna wa Umoja wa Afrika Anayeshughulikia Rasilimali Watu, Sayansi na Teknolojia amesema kuna haja ya kuweko ushirikiano wa kieliimu na Iran katika sekta ya teknolojia ya Nano, sayansi ya mazingira, teknolojia ya mawasiliano, kozi za stadi, ajira na uboreshaji wa kiwango cha elimu.

  • Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi

    Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi

    Mar 09, 2019 08:17

    Kamati ya Tisa ya Kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini imefanya kikao nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Bi Reginah Mhaule, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Anayehusika na Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS