-
Iran yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kuishtaki Israel ICJ
Feb 14, 2025 02:33Mansour Shakib Mehr, balozi wa Iran nchini Afrika Kusini amepongeza hatua ya serikali ya Pretoria ya kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutokana na jinai za utawala huo ghasibu huko Gaza.
-
Afrika Kusini: Katu hatutaondoa kesi dhidi ya Israel ICJ licha ya vitisho vya Trump
Feb 13, 2025 02:53Afrika Kusini imeapa kutoondoa kesi yake ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), licha ya vitisho, mashinikizo na kukatiwa misaada na utawala wa Donald Trump.
-
Waafrika Kusini 'weupe' wakataa 'ofa' ya kuwa wakimbizi Marekani
Feb 09, 2025 07:12Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump, wa kwenda kuwa wakimbizi nchini Marekani, kwa madai ya kubaguliwa nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini: Tunaendelea kushikamana na wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 07:55Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendelea kushikakama na kuwa pamoja na wananchi wa Palestina.
-
Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani
Feb 07, 2025 07:55Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi.
-
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Feb 06, 2025 02:31Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
"Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"
Feb 05, 2025 12:18Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Afrika Kusini yamuonya Trump; Tutasitisha mauzo ya madini kwa Marekani
Feb 05, 2025 02:41Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini haitajitoa katika kikosi cha kulinda amani Kongo
Feb 04, 2025 02:50Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameahidi kuendelea kuisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo licha ya wananchi wa Afrika Kusini kutoa wito wa kuondoka Kongo wanajeshi wa nchi hiyo kufuatia vifo vya walinda amani 14 wa Afrika Kusini.
-
Familia za wahanga zaishtaki serikali ya Afrika Kusini kwa jinai za ubaguzi wa rangi
Jan 24, 2025 03:36Familia 25 za wahanga na manusura wa jinai za kisiasa zilizofanyika zama za ubaguzi wa rangi huko Afrika Kusini zimemfungulia mashtaka Rais wa Cyril Ramaphosa wa nchi iyo na serikali yake kwa kile zinachosema ni kushindwa kuchunguza ipasavyo makosa hayo na kutoa haki mkabala wa jinai hizo za kisiasa.