-
Naibu Rais wa Afrika Kusini: Afrika ijistawishe bila kutegemea Magharibi
Jan 21, 2025 12:52Naibu wa Rais wa Afrika Kusini, Paul Mashatile amesema kuwa, bara la Afrika linapaswa kuhitimisha utegemezi wake kwa madola ya Magharibi.
-
Afrika Kusini yaimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na Msumbiji ili kuzuia jinai
Dec 30, 2024 12:22Afrika Kusini imeimarisha ulinzi na doria kwenye mpaka wake na Msumbiji ili kuzuia na kupambana na uhalifu nyemelezi unaoweza kujitokeza kutokana na maandamano yanayoendelea katika nchi hiyo jirani.
-
Ireland yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Dec 13, 2024 03:40Serikali ya Ireland imetangaza kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala haramu wa Israel unaotenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Reuters: Trump amemwambia Zelensky anataka vita "visimamishwe mara moja"
Dec 12, 2024 10:32Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemwambia Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba anataka kukomeshwa uhasama wa vita kati ya Russia na Ukraine haraka iwezekanavyo. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters likizinukuu duru kadhaa.
-
Ramaphosa: G-20 ijihadhari na sera za Trump za "Marekani Kwanza"
Dec 04, 2024 12:46Wakati dunia ikisubiri kuapishwa rais mteule wa Marekani, Donald Trump, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametahadharisha kuhusu sera za kiongozi huyo mpya za "Marekani Kwanza".
-
Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake
Nov 22, 2024 02:32Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban.
-
Afrika Kusini imeanza kuwaondoa chini ya ardhi wanaochimba madini kinyume cha sheria
Nov 20, 2024 11:48Wataalamu wa uokoaji wa Afrika Kusini wamefika katika mgodi wa Stilfontein nchini humo kuanza operesheni ya kuwatoa chini ya ardhi wachimba madini kinyume cha sheria.
-
Polisi wa Afrika Kusini wanapanga kuwaondoa wachimba madini haramu chini ya ardhi
Nov 20, 2024 02:37Msemaji wa Polisi ya Afrika Kusini, Athlenda Mathe, amesema kuwa wataalamu wa uokoaji wamekutana ili kutekeleza operesheni ya kuwatafuta wachimbaji haramu katika mgodi uliotelekezwa. Haya yanajiri huku kukiwa na mzozo kati ya wachimba migodi na polisi ya Afrika Kusini ambao umeendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
-
Walebanon waandamana nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria
Nov 10, 2024 06:50Raia wa Lebanon wanaoishi nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Israel mjini Pretoria, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni unaendeleza vita na mashambulizi ya kinyama dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina
Oct 31, 2024 11:06Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi inayokaribia kurasa 5,000 dhidi ya utawala katili wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).