-
Ahmad Nourozi apongeza uungaji mkono wa Afrika Kusini kwa wananchi wa Palestina
Oct 29, 2024 11:36Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa Afrika Kusini inang'aa kama nyota katika kuwaunga mkono na kuwatetea wananchi wa Palestina na imekuwa na mchango athirifu katika uwanja huo.
-
Afrika Kusini kuwasilisha hati kwa ICJ ya ushahidi wa kisayansi kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 28, 2024 02:56Afrika Kusini kuwasilisha hati ya kina katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kutoa ushahidi wa kisayansi kuthibitisha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
-
Pezeshkian: Mandela atakumbukwa kwa mapambano yake dhidi ya dhulma
Oct 24, 2024 07:19Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amemuenzi na kumpongeza kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela kutokana na jitihada na mapambano yake dhidi ya dhulma na ukandamizaji.
-
Afrika Kusini: Tutafuatilia faili na mauaji ya kimbari ya Israel ICJ
Oct 18, 2024 07:59Afrika Kusini imetangaza azma yake ya kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilisha dhidi ya utawala ghasibu wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) "licha ya mashinikizo kutoka kwa baadhi ya nchi ya kuitaka kuondoa kesi hiyo.
-
Balozi: Nchi 18 zimejiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Oct 08, 2024 11:41Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran, Dakta Francis Moloi, ameashiria kuongezeka kwa uungaji mkono wa kimataifa kwa kesi ya mauaji ya kimbari ya Gaza dhidi ya Israel, akieleza kuwa kufikia sasa nchi 18 zimejiunga na kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ.
-
Pretoria: Tunatiwa wasi wasi na mauaji ya kigaidi ya Israel
Sep 29, 2024 14:15Afrika Kusini imetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano mara moja nchini Lebanon, ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel ulianza mashambulio ya anga hivi karibuni, na kuua mamia ya raia huku maelfu ya wengine wakilazimika kuyahama makazi yao.
-
Papa awataka Wakatoliki Marekani wachague 'uovu ulio afadhali kidogo' kati ya Trump na Harris
Sep 14, 2024 03:28Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewahimiza Wakatoliki nchini Marekani wakapige kura katika uchaguzi wa Novemba, akisema wanapaswa "kuchagua uovu ulio afadhali kidogo" huku akiwakosoa wagombea wote wawili wakuu wa kinyang'anyiro cha urais wa nchi hiyo.
-
Wafanyakazi 6 wa UN miongoni mwa watu 18 waliouliwa katika shambulio la kinyama la Israel Ghaza
Sep 12, 2024 07:40Wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) ni miongoni mwa watu 18 waliouawa hapo jana katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika skuli inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza ya Kati.
-
Ofisi ya Rais Afrika Kusini: Tutafuatilia mashtaka yetu dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 12, 2024 02:29Ofisi ya Rais wa Afrika Kusini imetangaza katika taarifa yake kwamba, itaendelea kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) hadi hukumu yake itakapotolewa.
-
Wakulima wa Afrika Kusini watuhumiwa kuuwa wanawake 2, na kisha miili yao kuwalisha nguruwe
Sep 11, 2024 03:12Wanaume watatu nchini Afrika Kusini wanatuhumiwa kuwauwa wanawake wawili na kisha miili yao kuwalisha nguruwe katika shamba lao. Kesi hii tajwa imeibua ghadhabu na hasira miongoni mwa jamii ya Afrika Kusini.