-
Wafuasi wa chama cha Jacob Zuma wapoteza maisha katika ajali
Sep 01, 2024 02:55Wafuasi sita wa chama cha upinzani cha MK kinachoongozwa na Jacob Zuma nchini Afrika Kusini, wamepoteza maisha kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea siku ya Jumamosi, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wanaharakati waitaka Afrika Kusini iiwekee Israel vikwazo vya biashara
Aug 26, 2024 02:29Wanaharakati wameitaka Afrika Kusini iuwekee utawala wa Kizayuni wa Israel vikwazo vya kibiashara na kusimamisha mara moja mauzo ya nje ya bidhaa zake kwa utawala huo pandikizi.
-
Takriban wahamiaji 100 wa Ethiopia waokolewa na polisi nchini Afrika Kusini
Aug 05, 2024 13:45Polisi ya Afrika Kusini imeeleza kuwa imewaokoa wahamiaji 90 wa Kiethiopia waliokuwa wakishiliwa kwenye nyumba moja kinyume na ridhaa yao katika mji wa Johannesburg.
-
Afrika Kusini yailaani Israel kwa kumuua kigaidi Ismail Haniyah
Aug 02, 2024 02:44Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mauaji ya kigaidi ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyah.
-
Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina
Jul 22, 2024 10:58Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Harakati ya Ansarullah na vikosi vya wanajeshi wa Yemen kushadidisha operesheni zao dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini itaendelea kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 10, 2024 14:56Viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Rais wa Afrika Kusini wameendelea kumpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Baraza la mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa ya Afrika Kusini laapishwa
Jul 04, 2024 07:03Baraza jipya la mawaziri la Afrika Kusini liliapishwa jana Jumatano, wakati huu ambapo serikali ya nchi hiyo inakabiliana na changamoto za uchumi na mabadiliko ya kijamii.
-
Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ
Jun 22, 2024 11:18Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Chama cha Zuma kususia kikao cha Bunge cha kumchagua rais wa Afrika Kusini
Jun 13, 2024 02:24Chama cha upinzani cha Mkhonto weSizwe (MK) cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha faili mahakamani kikitaka kusikitishwa kikao cha Bunge cha kuchagua rais mpya wa nchi hiyo.
-
Uhispania yajiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Jun 07, 2024 02:45Siku chache baada ya Uhispania kutangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, nchi hiyo ya Ulaya imetuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu huko Gaza.