-
Zuma atoa onyo iwapo IEC itatangaza matokeo ya uchaguzi leo
Jun 02, 2024 06:38Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametishia kuchukua hatua ya kisheria ya kuizuia Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu leo Jumapili kama ilivyoratibiwa.
-
Upinzani Afrika Kusini wataka kura zihesabiwe upya
Jun 01, 2024 03:06Taharuki imetanda Afrika Kusini baada ya vyama kadhaa vya upinzani nchini humo kupinga matokeo ya uchaguzi wa Bunge katika baadhi ya wilaya na mikoa, vikisisitiza kuwa lazima kura zihesabiwe upya.
-
Mauritius yaungana na Afrika Kusini katika mashtaka dhidi ya utawala wa Israel
May 28, 2024 10:42Serikali ya Mauritius metangaza kuungana na mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini
May 24, 2024 07:23Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kupigania kile alichokiita 'haki yake' ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo.
-
The Hague: Ufuatiliaji wa kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
May 20, 2024 05:16Naledi Pandor, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini ametangaza kuendelea na juhudi za nchi hiyo za kufuatilia mashtaka yake dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Afrika Kusini yaiomba Mahakama ya ICJ: Israel 'lazima izuiwe'
May 17, 2024 08:22Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.
-
Misri yaungana na Afrika Kusini katika mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
May 13, 2024 06:24Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imetangaza kuungana na mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji katika Ukanda wa Gaza.
-
Afrika Kusini yaandaa mkutano wa kimataifa dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel
May 10, 2024 10:55Mkutano wa Kimataifa dhidi ya Ubaguzi wa Rangi wa Israel huko Palestina ulitazamiwa kuanza leo Ijumaa katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini na utaendelea na kazi zake hadi tarehe 12 Mei mwaka huu.
-
Baadhi ya manusura watolewa chini ya vifusi baada ya jengo kuporomoka Afrika Kusini
May 08, 2024 11:43Wafanyakazi wa huduma za uokoaji nchini Afrika Kusini leo walikuwa na matumaini ya kuwapata watu wengine wakiwa hai baada ya ripoti y awali kueleza kuwa waliwasiliana na angalau wafanyakazi 11 waliokwama kwenye vifusi baada ya jengo kuporomoka nchini humo Jumatatu wiki hii.
-
Mjukuu wa Mandela: Afrika Kusini imepata msukumo kutokana na uthabiti wa Wapalestina
Apr 28, 2024 11:50Mjukuu wa Nelson Mandela amesema Afrika Kusini imetiwa moyo na kupata msukumo kutokana na istikama na uthabiti wa Wapalestina; na kwa sababu hiyo ikaileta hoja ya piganio lao mbele ya Jamii ya Kimataifa.