-
Biden athibitisha kuuawa kiongozi wa Al Qaeda Ayman al Zawahiri Afghanistan
Aug 02, 2022 07:28Rais Joe Biden wa Marekani amethibitisha kuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda Ayman al Zawahiri ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani lililofanywa na jeshi la Marekani katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Abdulsalam: Marekani inashirikiana na al Qaida huko Ma'rib
Oct 17, 2021 07:58Msemaji wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa Marekani imedhihirisha kuwa ina mahusiano na kushirikiana na magaidi baada ya kutaka kufunguliwa vivuko eti vya amani huko Ma'rib.
-
Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi
Sep 13, 2021 12:07Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuenea ugaidi barani Afrika
Jul 25, 2021 08:26Katika ripoti yao mpya, wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema kuwa bara la Afrika limekuwa muhanga mkuu wa ugaidi katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2021 kutokana na kuenea makundi ya kigaidi kama Daesh na al-Qaida na makund mengine yaliyo chini ya udhibiti na ushawishi wa makundi hayo mawili.
-
Umuhimu wa ushindi wa jeshi la Yemen katika mapambano ya mkoa wa al Bayda'
Jul 12, 2021 04:10Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na kamati za kujitolea za wananchi wa nchi hiyo maarufu kuwa jina la Ansarullah limepata ushindi mkubwa na muhimu dhidi ya magaidi wa al Qaida na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kwenye mkoa wa al Bayda'.
-
Al Qaeda yaungama hadharani kuwa inapigana bega kwa bega na Muungano wa Saudia Yemen
Jul 11, 2021 13:24Mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda umetoa taarifa ukikiri kwamba, katika vita vinavyoendelea katikati ya Yemen unapigana bega kwa bega na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya vikosi vya jeshi la Yemen na vile vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo.
-
Makamanda kadhaa wa al-Qaeda waangamizwa na jeshi la Yemen Bayda
Jul 05, 2021 02:51Jeshi la Yemen likishirikiana na vikosi vya kujitolea wananchi limeangamiza wananchama kadhaa wa kundi la al-Qaeda katika Peninsula ya Kiarabu (AQAP), wakiwemo makamanda waandamizi wa genge hilo la kigaidi.
-
Wakuu wengine wawili wa magenge ya kigaidi waangamizwa nchini Yemen
May 20, 2021 11:46Duru moja ya usalama ya Yemen imetangaza habari ya kuangamizwa wakuu wengine wawili wa magenge ya kigaidi nchini humo.
-
Madai ya Rais Biden ya kudhoofika al-Qaeda na kukabiliana na ugaidi
May 04, 2021 11:04Rais Joe Biden wa Marekani Jumapili iliyopita alidai sambamba na kuanza kuondoka askari wa Marekani nchini Afghanistan baada ya miongono miwili kwamba, Washington itaendelea kufuatilia nyendo za magaidi na kusambaratisha aina yoyote ile ya tishio la ugaidi nchini Afghanistan.
-
Russia yapuuzilia mbali bwabwaja mpya za Marekani dhidi ya Iran
Jan 14, 2021 02:39Russia imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Marekani ya kujaribu kulifungamanisha kundi la kigaidi la al-Qaeda na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pasi na kutoa ushahidi wowote.