-
Mashambulio ya kikatili ya Marekani yaongezeka nchini Somalia
Jan 10, 2023 02:34Tovuti moja ya nchini Marekani imetangaza habari ya kuongezeka mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia wakati wa urais wa "Joe Biden" na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Waliouawa katika mashambulio ya kigaidi Somalia wapindukia 30
Jan 05, 2023 07:06Idadi ya wahanga wa milipuko miwili ya mabomu katika mji wa Mahas katikati ya Somalia imeongezeka na kufikia watu 30.
-
Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8
Dec 25, 2022 10:33Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili hapa nchini Iran baada ya kuachiwa huru.
-
Vikosi vya Somalia vyaukomboa mji wa Runirgoud kutoka kwa magaidi wa Al-Shabaab
Dec 24, 2022 07:40Mashambulizi ya Jeshi la Somalia (SNA) dhidi ya kundi la magaidi wa Al-Shabaab yamepata mafanikio mapya baada ya vikosi vyake kuukomboa mji wa Runirgoud, ngome ya mwisho ya magaidi hao wakufurishaji huko Shabelle ya Kati, takriban kilomita 240 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
AU: Kundi la al-Shabaab linaelekea kusambaratika nchini Somalia
Nov 30, 2022 10:57Umoja wa Afrika umesema vitendo vya hivi karibuni vya kundi la kigaidi la al-Shabaab vya kuwalenga raia wasio na hatia katika mashambulizi yao vinaashiria namna genge hilo lilivyopoteza udhibiti wa ngome zake, kutokana na operesheni za Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) na waitifaki wake.
-
Mzingiro wa al-Shabaab katika hoteli Somalia wahitimishwa, raia 9 na askari mmoja wauawa
Nov 29, 2022 07:53Vikosi vya usalama vya Somalia vimevamia hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu ili kumaliza mzingiro wa siku moja wa wapiganaji wa al-Shabab ambao waliwaua watu tisa kwenye jengo lililoko karibu na makazi ya rais katika mji huo.
-
Wanamgambo 27 wa al Shabab wauawa katika shambulio la anga Somalia
Sep 23, 2022 07:52wanamgambo 27 kundi la kigaidi la al Shabab la nchini Somalia wameuawa katika shambulio la anga lililotekelezwa katika mkoa wa kati wa Hiran ambako jeshi la Somalia na majeshi waitifaki yalianzisha oparesheni dhidi ya kundi hilo mwezi uliopita.
-
Waliouawa katika shambulio dhidi ya hoteli Mogadishu wapindukia 20
Aug 22, 2022 04:24Watu wasiopungua 21 wameuawa huku wengine 117 wakijeruhiwa, baada ya kundi la kigaidi la la al-Shabaab kuwashika mateka mamia ya watu katika hoteli moja huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Al-Shabaab yaua watu 17 katika shambulio karibu na Ethiopia
Jul 22, 2022 03:12Kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia limefanya shambulio nadra karibu na nchi jirani ya Ethiopia, lililopelekea kuuawa watu wasiopungua 17, wakiwemo raia watatu.
-
Rais wa Somalia: Ukifika wakati mwafaka tutafanya mazungumzo na Ash-Shabaab
Jul 08, 2022 02:08Rais mpya wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema, kuhitimisha uasi wa utumiaji silaha unaofanywa na kundi la Ash-Shabaab unahitaji mbinu nyingine kuliko ya kijeshi na kwa hivyo utakapofika wakati mwafaka, serikali yake itafanya mazungumzo na kundi hilo lenye misimamo ya kufurutu ada.