-
Algeria na Afrika Kusini zapinga tena Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika AU
Nov 16, 2021 13:21Algeria na Afrika Kusini zimetangaza tena msimamo wao wa kupinga utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika, AU.
-
Iran yaipongeza Algeria kwa kupinga Israel kuwa mwanachama mwangalizi Umoja wa Afrika
Nov 12, 2021 07:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya hivi karibuni ya Algeria kupinga utawala haramu wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika.
-
Rais wa Algeria akataa mwaliko wa Ufaransa wa kushiriki katika mkutano wa Paris kuhusu Libya
Nov 11, 2021 08:22Rais wa Algeria ametangaza kuwa, hatashiriki katika mkutano wa Paris ulioitishwa kwa ajili ya kujadili hali ya kisiasa nchini Libya.
-
Umoja wa Mataifa wazitaka Algeria na Morocco kupunguza mzozo baina yao
Nov 07, 2021 04:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitolea wito Algeria na Morocco kufanya juhudi za kupunguza mzozo na mivutano baina yao.
-
Algeria: Ni baidi kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa katika mazingira ya sasa
Nov 07, 2021 00:12Rais wa Algeria amesema katika mazingira ya sasa ni jambo lililombali kuweza kurejeshwa uhusiano wa kawaida na Ufaransa baada ya matamshi hatari yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo.
-
Wanajeshi Sudan waendelea kukabiliana na waandamanaji; vurugu zatawala
Oct 29, 2021 04:36Vyombo vya usalama nchini Sudan vimeendelea kupambana na waandamanaji wenye hasira wanaoipinga mapinduzi ya kijeshi ya Jumatatu iliyopita ambayo yamezidi kuzorotesha kipindi cha mpito cha kidemokrasia, na kusababisha ukosolewaji mkubwa kieneo na kimataifa.
-
Algeria yaikosoa Morocco kwa kuiingiza Israel katika njama hatari dhidi ya Algiers
Oct 24, 2021 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameikosoa nchi jirani ya Morocco kwa kuuingiza utawala wa Kizayuni wa Israel katika njama hatari dhidi ya serikali ya Algiers.
-
Wahajiri kadhaa wafariki dunia katika ajali ya boti pwani ya Algeria
Oct 18, 2021 00:22Wizara ya Ulinzi ya Algeria imesema wahajiri wanne wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama katika Bahari ya Mediterania, huko pwani ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Algeria yazima njama ya utawala haramu wa Israel
Oct 13, 2021 23:23Vyombo rasmi vimetangaza kuwa, askari usalama wa Algeria wamefanikiwa kuzima njama iliyokuwa imepangwa kutekelezwa na maadui wa nchi hiyo kwa kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria yayasusia na kuyawekea vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa
Oct 11, 2021 23:04Taasisi moja ya Algeria imetangaza habari ya kususiwa na kuwekewa vikwazo mashirika 500 ya Ufaransa nchini humo, ikiwa ni majibu ya Algiers kwa matamshi ya kifidhuli ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.