Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa

    Tebboune: Algeria si koloni tena la Ufaransa

    Oct 11, 2021 04:44

    Rais wa Algeria imetangaza kuwa Ufaransa inapasa kusahau kuwa Algeria ni nchi iliyokoloniwa.

  • Macron akataa tena kuomba radhi kwa masaibu yaliyosababishwa na ukoloni wa Ufaransa barani Afrika

    Macron akataa tena kuomba radhi kwa masaibu yaliyosababishwa na ukoloni wa Ufaransa barani Afrika

    Oct 09, 2021 04:45

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekataa tena kuomba radhi kutokana na athari mbaya za historia ya ukoloni wa nchi yake barani Afrika, akielezea hamu yake ya kuanzisha mtindo mpya wa uhusiano na bara hilo.

  • Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria

    Ufaransa yataka kuondolewa mivutano katika uhusiano wake na Algeria

    Oct 05, 2021 23:36

    Rais wa Ufaransa ametoa wito wa kuondolewa mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Algeria.

  • Algeria yakadhibisha madai ya Morocco kuhusu kuwepo Hizbullah huko Tindouf 

    Algeria yakadhibisha madai ya Morocco kuhusu kuwepo Hizbullah huko Tindouf 

    Oct 04, 2021 22:50

    Algeria imekadhibisha madai yaliyotolewa na Morocco kwamba wapiganaji wa harakati ya Hizbullah wako katika mji wa Tindouf kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wapigania uhuru wa Polisario huko Sahara Magharibi. Algeria imeyataja madai hayo kuwa ni uongo mtupu.

  • Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa

    Mvutano katika uhusiano wa Algeria na Ufaransa

    Oct 03, 2021 13:43

    Usiku wa Jumamosi iliyopita serikali ya Algeria ilimwita nyumbani balozi wake nchini Ufaransa kwa ajili ya mashauriano ikilalamikia matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron dhidi ya nchi hiyo.

  • Algeria yaizuia Morocco kupita katika anga yake; uhusiano wazidi kuharibika

    Algeria yaizuia Morocco kupita katika anga yake; uhusiano wazidi kuharibika

    Sep 23, 2021 04:36

    Serikali ya Algeria imetangaza kuwa, imeifungia Morocco anga yake hatua ambayo inazidi kuchochea mvutano ulioshadidi hivi karibuni baina ya majirani hao wawili kufuatia hatua ya Algiers ya kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Rabat.

  • Rais wa Ufaransa awaomba radhi wananchi wa Algeria

    Rais wa Ufaransa awaomba radhi wananchi wa Algeria

    Sep 21, 2021 22:59

    Hatimaye baada ya kupita miongo mingi tangu Wafaransa watende jinai nchini Algeria na katika hali ambayo, kumekuwa kukifichuliwa nyaraka mpya za jinai hizo, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewaomba radhi wananchi wa Algeria na kuahidi kupasishwa sheria katika siku za usoni ambayo itatoa fidia kwa nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Rais Macron awaomba radhi Waislamu wa Algeria kwa jinai zilizofanywa na nchi yake nchini humo

    Rais Macron awaomba radhi Waislamu wa Algeria kwa jinai zilizofanywa na nchi yake nchini humo

    Sep 20, 2021 22:11

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron jana Jumatatu aliwaomba radhi Waislamu wa Algeria kutokana na jinai ilizofanywa na Ufaransa katika nchi hiyo.

  • Algeria na Libya zakubaliana kufunguliwa tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli

    Algeria na Libya zakubaliana kufunguliwa tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli

    Sep 17, 2021 22:01

    Rais wa Algeria na Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya wamekubaliana kufungua tena ubalozi wa Algeria huko Tripoli mji mkuu wa Libya.

  • Algeria yasisitiza udharura wa kuwatetea Wapalestina, Libya na Syria

    Algeria yasisitiza udharura wa kuwatetea Wapalestina, Libya na Syria

    Sep 09, 2021 06:39

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Algeria imetilia mkazo msimamo wake wa kuendelea kutetea taifa la Palestina na kupinga uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Syria na Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS